Thursday, November 5, 2015

NCHINI ROMANIA KIMENUKA WATU WANA ANDAMANA ILI VIONGOZI WA NCHI WAJIUZULU KWA RUSHWA ILIVYO KITHIRI
NCHINI ROMANIA WAMEAMUWA KUANDAMANA BAADA YA KUONA NCHI YOA INAENDELEA KUDIDIMIA KWA RUSHWA LIYO KITHIRI KUPITA KIASI.HIVI KARIBUNI BADHI YA WATU WALIPOTEZA MAISHA KATIKA DISKO TEKI NCHI HUMO. BAADA YA MOTO MKUBWA KUZU KATIKA DISKO HILO.WATU WENGI WA NCHI YA ROMANIA WAMEGUDUWA KUWA SEREKALI YAO HAIJALI TENA RAI WAKE NA INACHO JALI NI KUJITAJIRISHA HATA KAMA WANAJUWA JAMBO HILI LITAUMIZA RAI WAO HUTEMBEA HONGO YA GUVU RUSHWA NA BAADA MUDA JAMBO HILI HUPEWA RUHUSA YA KUEENDELEA NA BIASHARA NDIO MOJA YA HILO DISKO LILKUWA LISHACHUNGUZWA KUWA HALIFAI LAKINI VIONGOZI WA SEREKALI WALIKUWA WASHAKULA CHAO NA KUMUACHIA MWENYE DISKO HILO KUENDELEA NA BIASHARA NA KUSABABISH VIFO VYA WAROMANI NA WAO SASA WAMEKUJA JUU WANATAKA SEREKALINI HUMO VINGOZI WAJIUZULU KILA ALIYEBAINIKA NI MLA RUSHWA AJUZU NA KUSHTAKIWA.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment