Sunday, November 8, 2015

PIC MUHIMU SANA PLEASE SHARE MPAKA IFIKE KWA MADALALI WALIOIUZA NCHI YETU YA ZANZIBAR

Tumewasaliti???
Mzee Karume
Mzee Hasnuu Makame
Sheikh Mohammed Shamte
Sheikh Ali Muhsin
Wakirudi kuitafuta Zanzibar Yenye Mamlaka Kamili
Leo Zanzibar ni koloni la Tanganyika
PLZ SHARE mpaka ifike kwa madalali walioiuza nchi yetu

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.


No comments:

Post a Comment