Thursday, November 19, 2015

POLISI NCHINI ZANZIBAR IMEANZA KUHOJA ATII WALIO VURUGA UCHAGUZI VICHEKESHO


HUYU NDIYE NAIBU MKURUGENZI WA UPELELEZI NA MAKOSA YA JINAI HAPA NCHINI ZANZIBAR DDCI SALUM MSANGI ATII NDIYE ANAYE PELELEZA KUHARIBIWA KWA UCHAGUZI HAHAHAHA BORA NICHEKE KWANZA
Haya kumekucha sasa atii Vigogo wa Tume ya Uchaguzi nchini Zanzibar (Zec), wameanza atii kuhojiwa na Jeshi la Polisi hapa nchini Zanzibar baada ya Jecha salim Jecha kuona chama cha CCM kinashindwa na yeye na wakereketwa wenzaka wakamuwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jecha Salim Jecha,kujipa madaraka asiyo kuwa nayo na kuamuwa kuvunja sheria za nchi na katiba ya nchi na kuamuwa kufuta matokeo ya uchaguzi huo Oktoba 28, mwaka huu baada ya jecha na kundi lake kuona CCM imeshindwa katika uchaguzi huo.
Uchunguzi wa Mwandishi wetu nchini Zanzibar umebaini kuwa viongozi waliohojiwa na Polisi ni ni Makamishna na Watendaji wa tume hiyo akiwamo Makamu Mwenyekiti, Jaji Abdulhakim Issa Ameir.Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai Zanzibar (DDCI), Salum Msangi, alithibitisha mjini hapa Mjini jana kuwa Makamishina wa Zec na Watendaji, wameanza kuhojiwa na maofisa wa upelelezi kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Zanzibar Ziwani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Alisema hadi sasa uchunguzi umefikia hatua kubwa na baada ya kukamilika, majalada ya uchunguzi yatapelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashitaka Zanzibar (DPP), Ibrahim Mzee Ibrahim, kabla ya wahusika kufikishwa mahakamani.
SALUM MSANGI JE KATIKA UCHUNGUZI WAKO ULIWAPATA WAKEREKETWA WA CCM WALIO TAKA KUMTOA JICHO HUYU MTOTO WA WATU.....??SALUM MSANGI JE KATIKA UCHUNGUZI WAKO ULIWAPATA WAKEREKETWA WA CCM NA KUDI LA WAFICHA NYUSO WALIO PIGA RISASI HUYU KIJANA MAKUNDUCHISALUM MSANGI JE KATIKA UCHUNGUZI WAKO USHAWAHI KUCHUGUZA MAAFA WALIO FANYA HAWA VIJANA KWA WAZANZIBARI HADHARANI NA SILAHI NZITO NZITO NA WEWE MSANGI NI POLISI WA UPELELEZI ULIKUWA WAPI USIWAKAMATE HAWA VIJANA WANAO ZURURA NA MAGARA NA SILAHA NA KUFICHA NYUSO ZAO.

 
MSANGI MSANGI HAWA WOTE WAMESHAMBULIWA VIBAYA NA KWA RISASI HAPA NCHINI ZANZIBAR JE UPELELEZI WAKO UMEFIKIA WAPI KUWAKAMATA WAHALIFU WALIO FANYA HAYA....?
HAWA WENGINE WAMEPINGWA RISASI NA RISASI HII HAPA USHAHIDI UCHUNGUZI WAKO UMEFIKIA WAPI..?
“Tunawahoji Makamishna na Watendaji wa Tume, Makamu Mwenyekiti yeye tayari tumemhoji, bado Mwenyekiti na maofisa wengine,” alifafanua DDCI Msangi.Alisema Polisi waliingia kazini baada ya kuripotiwa kuwa uchaguzi umevurugwa ((LAKINI POLISI NYINYI MUMESHINWA KUWAKAMATA WALE WANAHARAMU WENU WAFICHA NYUSO WALIOKUWA WAKIRANDA RANDA NA MAGARI NA SILAHA ZA KIVITA)) na kazi inayofanyika ni kukusanya ushahidi na vielelezo kabla ya wahusika kufunguliwa mashitaka kwa kuhujumu Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.((MSANGI WEWE PIA RUDI KWENYE HOJA JECHA NI SHERIA IPI AU KIFUNGU KIPI KILICHO MPA UHALALI JECHA KUFUTA UCHAGUZI MSIJITIE UPUMBUUWANI JIULIZE JECHA KAFUTA UCHAGUZI AMABO ULIKUWA BADO KIDOGO KUKAMILIKA WABUNGE NA WAWAKILISHI WOTE WASHAPIWA VYETI VYAO VYA USHINDI JE HANA UWEZO KISHERIA WALA KIATIBA KUFUTA UCHAGUZI KWA NINI AKAUFUTA NA NI YEYE NA UKEREKETWA WAKE AU NI HAO MAA BIG FISH WAMEMUAMBIA AKAFANYE VILE ANZA HAPO MSANGI KAMA WEWE MPELELEZI KWELI LA KAMA NDIO LENU MOJA KUTAKA KUHALALISHA CCM USHINDI WA LAZIMA MUJITAYARISHE NA KUMBUKA ULIMWENGU UNAWATIZAMA.)) Alisema uchunguzi huo umegawanyika sehemu tatu na kuwahusisha Tume, waathirika na wananchi kutoka sehemu mbalimbali katika Visiwa vya Unguja na Pemba.Aidha, alisema kuna mambo mazito yameanza kuonekana tangu kuanza kufanyika kwa uchunguzi, lakini alisema ni mapema kueleza uchunguzi huo utachukukua muda gani kukamilika.
“Wahusika watafikishwa mahakamni baada ya majalada ya uchunguzi kupelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashitaka Zanzibar kabla ya kufikishwa mahakamani,” alisema Msangi.Hata hivyo, Naibu Mkurugenzi huyo alisema hali ya Zanzibar ni shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida tangu ZEC ilipofuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, mwaka huu.Akitangaza kufuta uchaguzi huo, Mwenyekiti wa ZEC, Jecha alisema kuna sababu tisa zimemfanya kuchukua hatua hiyo.Alizitaja kuwa ni pamoja na vituo vya wapigakura na idadi ya kura katika visanduku zilikuwa nyingi kuliko idadi ya watu waliosajiliwa katika daftari la wapigakura katika vituo vya uchaguzi.Aidha, alisema kuna visanduku vya kura viliporwa na kuhesabiwa nje ya vituo kinyume na sheria pamoja na mawakala wa vyama kupigwa na kufukuzwa katika vituo vyao vya kazi siku ya uchaguzi.((NANUKU....kuna visanduku vya kura viliporwa na kuhesabiwa nje ya vituo kinyume na sheria.MWISH WA KUNUKU TUNARUDIA TENA TURUDI KWENYE HOJA NI SHERIA IPI AU KIFUNGU KIPI KILICHO MPAA JECHA SALIM JECHA KUFUTA UCHAGUZI MKITUJIBU HAPA NDIO TUTAENDELEA MBELE VINGINEVYO NYINYI NYOTE NI WAKEREKETWA WA CCM TUNAWAJUWA MNATAFUTA NJIA YA KUWAHUJUMU WATU WASIO NA HATIA MUWAWEKE JELA KISHA MUENDELE KUKA MADARAKANI KAENI MKIJUWA IPO SIKU MTAPOROMOKA NA MKIPOROMOKA MTAPOROMOKA VIBAYA MAANA ITAKUWA HAKUNA TENA SUMILE GADDAF YUKO WAPI NA JESHI LAKE,SADDAM HUSSEIN YUKO WAPI NA JESHI LAKE ,BAN ALI YUKO WAPI NA PESA ZAKE,IDI AMINI YUKO WAPI NA UBABE WAKE,HITLER YUKO WAPI NA JESHI LAKE NA VITISHO VYAKE,STALIN YUKO WAPI NA JESHI LAKE NA UKALI WAKE,NYERERE BABA YENU WA TAIFA LA TANGANYIKA ULIKO  TOKA YUKO WAPI NA UJANJA UJANJA WAKE WAMISEMU NA KUVURUGA WATU NYUMA YA PAZIA ITAKUWA NYINYI CCM.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment