Monday, November 9, 2015

TAARIFA YA MAANDAMANO

Print
Assalamu alaykum,
Kwa Niaba ya Zanzibar Welfare Association UK, inapenda kuwaarifu Watu wote watakaonafasika, kuhudhuria kwenye Maandamano yatakayofanyika 10 Downing St, London SW1A 2AA kuanzia saa nne asubuhi siku ya Ijumaa tarehe 13/11/2015.
Lengo ni kutoa Shukran kwa Waziri Mkuu na Serikali yake ya Uengereza kuona haki inatendeka kwa Wananchi wa Zanzibar juu ya uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25/10/2015.
Kibali kimetolewa na Parliamentary & Diplomatic Protection Command wakishirikiana na Scotland Yard Special Events.
Ahsanteni
Mwenyekiti ZAWA UK
Hassan M Khamis

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment