Friday, November 6, 2015

VIDEO-NCHINI TANGANYIKA WAMUAPISHA RAISI WAO WA AWAMU YA TANO JOHN POMBE MAGUFULI RAISI MPYA WA NCHI YA TANGANYIKA


Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanganyika Dk John Pombe akiapa wakati wa hafla hiyo ya kumuapisha kuchukua Madaraka ya Urais wa Tanganyika wa Awamu ya Tano baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa Tanganyika mwishoni mwa wiki hii na wengi mutastajabu kwa nini nandika hivyo ila imenibidi maana kama ni Raisi wa Tanzania kura za nchi ya Zanzibar ziko wapi na Mkereketwa mwenzao Jecha kasema kaufuta uchaguzi kwa Ukereketwa wake na sio Sheria wala Katiba kwa maana hiyo huyu sio rais wa Tanzania bali ni Rais wa nchi ya Tanganyika very good maana sasa Watanganyika mna nchi yenu wameitowa huko waliko ificha CCM.


Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanganyika Dk John Pombe Magufuli akisubiri kuapishwa akiwa Jukwaa Kuu la kuapishiwa katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam nchini Tanganyika, anayefuata Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan Mrs BT, Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanganyika Awamu ya Nne na Makamu wa Rais Mstaaf Dk Mohammed Gharib Bilal Mr BT.

Shein kumbe upoo alaa habari za masiku umepote kiasi hicho hata huonekani tafakari M,Mungu anakuona

Rais Mstaaf wa nchi ya Tanganyika Awamu ya Nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanganyika Dk Mr BT Mohammed Gharib Bilal baada ya kukagua gwaride maalum la kumaliza muda wake wa Uongozi wa nchi hiyo ya Tanganyika. 

Mr BT shein akimpogeza Mrs BT samia na pemben kuna Mr BT Bilal akitafakari sasa afanye nini maana muda wa uwongozi unamuambia bye bye Bilal

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment