Friday, November 20, 2015

VIDEO PART 2-NCHINI TANGANYIKA BUNGENI DODOMA LEO WAMEITHIBITISHIA DUNIA KUWA HAKUNA DEMOKRASI NI CCM NA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA WALIANZA ZANZIBAR SASA HATA HUKO KWAO TANGANYIKA NI HAYO HAYO


MAALIM SEIF MAALIM SEIF MAALIM SEIF MAALIM SEIF MAALIM SEIF
MUNGALIE SHEIN,BALOZI MKAZI,KIFICHO,SAMIA, WALIVYO TOKWA NA UBINADAMU NA KUMSAHAU M.MUNGU KWA UTAMU WA DUNIA ULIO NA MUDA MFUPI SANA.
CCM ISHAMUWA KUFANYA MAPINDUZI BARIDI MAANA NDIO WASHAMUHALALISHA SHEIN KUWA NDIO RAIS WA ZANZIBAR 2015,BALOZI MKAZI MAKAMO WA RAIS,KIFICHO KAMA KAWA SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI SEREKALI ISHATIMIA NA KAMA WAMEFANYA HIVI DODOMA BASI NA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR WATAFANYA HIVYO HIVYO NGOJENI MTAONA.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment