Saturday, November 21, 2015

VIDEO-WAZANZIBARI TUMEPINDULIWA WAZANZIBARI TUMEPINDULIWA WAZANZIBARI TUMEPINDULIWA HUTBA YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKAMasultani Weusi Wastaafu Nchini Tanganyika, kutoka kushoto ni Ally Hassan Mwinyi mzee kondom, Benjamin Mkapa dume la masokwe, Jakaya Kikwete mwaka huu 2015 Amewapinduwa Wazanzibari kwa kutumia jeshi na kutharau kura zao walizo piga kwa kuchaguwa viongizo wanao wataka huu ni uthibitisho kwa ule msemo wao kuwa HATUTOI KWA VIKARATASI wala hawajali Wananchi wamechaguwa kiongozi gani mara nyengine tena Wazanzibari tumepinduliwa.

((Rais wa Zanzibar akiwaangalia wabunge wa upinzani ambao walikuwa wakimzomea muda wote tangu alipoingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma. Kulia ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Iddi.))

HIVI NDIVYO WALIVYO ANDIKA LAKINI HUYU NI RAISI KIVIPI,KISHERIA IPI AU KIKATIBA IPI INAYO MFANYA HUYU KUWA RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR NA HUYO BALOZI MKAZI KUWA MAKAMO...? MIAKA YOTE MAKABURU WEUSI TANGANYIKA WANAWALAZIMISHA WAZANZIBARI NA KUWACHAGULIA RAIS WASIO WATAKA KWA LAZIMA NA KUWAIBIA KURA MARA HII HAWAKUWAHI KUIBA KURA WALA KUFANYA BANDIKA BANDUWA YAO. WALIPONA KUWA SASA WAMEKWISHA WAZANZIBARI WAMEKIKATA CHAMA CHA WAUWAJI CCM NA MAMAFIA CCM MACHAMPIONI CCM WA KULA RUSHWA KILICHO FUATA SASA CCM MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HAKUWEZA KUJIFICHA TENA ILA NIKUCHUKUWA KURA ZA WAZANZIBARI NA KUMPA POMBE MAGUFULI KUMHALALISHIA ILI AWE RAIS HARAKA HARAKA NA KUAPISHWA HARAKA HARAKA KISHI KULE ZANZIBAR WAKAFUTA UCHAGUZI WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA ILI IONEKANE KUNA MZOZO WA KISIASA HUKU KIKWETE AKATUJAZIA MAJESHI WAZANZIBARI WANAPINDULIWA BILA YA KUJIJUWA KAMA WANAPINDULIWA. KISHA WAKAENDELEA NA UKIRITIBA WAO WA KUAPISHANA HUKO KWA MKOLINI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA JANA NDIO WAKATHIBITISHIA WATANGANYIKA NA ULIMWENGU MZIMA KUWA CCM HAPA HATUFUATI KATIBA WALA SHERIA NI UBABE NA GUVU ZA JESHI NA POLISI KWA KUWA HAO PIA NI CCM MPAKA SASA WAZANZIBARI WASHAPINDULIWA NA KUEKEWA DIKTETA SHEIN AWAOGOZI KWA MIAKA MENGINE 5 NA SHEIN NDIO ATAENDELEA KUWA RAIS WENU MUTAKE MUSITAKI SHEIN NDIO RAISI WENU AKISAIDIWA NA JESHI LA MAKABURU WEUSI TANGANYIKA.

WAZANZIBARI LAZIMA TUJUWE KUWA SHEIN SIO RAIS WA KUPIGIWA KURA SOTE TUNAJUWA NA KUTABUWA KUWA SIO RAIS ALIYE CHAGULIWA NA WANANCHI NI RAISI ALIYEWEKWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KWA LAZIMA KWA KUTUMIA GUVU ZA KIJESHI NA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HAPA SASA NDIO ULE MSEMO WAO UNAKAMILIKA HATUTOI KWA VIKARATASI NA MWENGINEI NI SEREKALI MBILI KUELEKEA MOJA MAANA SHEIN SI RAIS NI PAMBO TU SASA WALE WANAO KAA WAKASEMA KUWA ZANZIBAR NI NCHI WATUAMBIYE NI NCHI KIVIPI MWENYE MACHO HAMBIWI TIZAMA.

TUMEPINDULIWA WAZANZIBARI TUMEPINDULIWA TUMEPINDULIWA NA MAKABURU WEUSI TANGANYIKA HILO TULIKUBALI NA SASA TUTAFUTE NJIA NYENGINE LAKINI TUSIDANGANYANE TENA KUWA TUKIPIGA KURA TUTAPATA TUNACHOTAKA KATIKA NCHI YETU ITAKUWA TUNADANGANYANA TU. KWANZA NI KUJARIBI NI NJIA GANI HUYU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TUTAMFUKUZA KATIKA NCHI YETU MAANA SASA NI KWEUPE KILA MOJA ANAJUWA SASA KUWA SIO TENA MUUNGANO WA NCHI MBILI KAMA WANAVYO DANGANYA WATU NA WANAVYO DANGANYA ULIMWENGU KUWA SISI TUNAMUUNGANO WA NCHI MBILI MAVI LABDA HAKUNA NCHI MBILI ZILIZO UNGANA HAPA KUNA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA NA NCHI YETU YA ZANZIBARI NI KOLONI LAO WAMEFANYA KWA SIRI MIAKA 50 NA KUWANDANGANYA WAZANZIBARI KUWA WANA RAISI NA WANAPIGA KURA BLA BLA BLA ZOTE GERESHA TU UKWELI UMEJIONYESHA SASA WAZI KUWA HATUNA NCHI TUKO NCHINI YA MKOLONI MWEUSI NA ATAKALO YEYE NDIO HILO HILO SASA NI KUJIKOMBOWA KWANZA KUTOKA KATIKA TUMBO LA MKOLONI MWEUSI SIO KUENDELEZA VIKAO WASIVYO NA MAANA YOYOTE WALA SIO KUPIGA KURA HALISAIDI CHOCHOTE SOTE WAZANZIBARI TUSHIKANA NA KUANZIA SASA TUTANGAZE RASMI KUWA ZANZIBAR IKO CHINI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA,MAKABURU WEUSI TANGANYIKA,MASULTANI WEUSI TANGANYIKA NA WAZANZIBARI WANATAKA UHURU WA NCHI YAO KWISHA.


KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

1 comment: