Saturday, November 28, 2015

WITO WA MAHAKAMA YA RUFAA YA....NCHINI TANGANYIKA ((TANZANIA)) NCHINI ZANZIBAR M.MUNGU NDIA MJUZI,SIRI,DHAHIRI NA KILA KITU KATIKA DUNIA NA AKHERA PIA

TUZIDISHE DUWA WAZANZIBARI KIZA KILA KIKITANDA ZAIDI BASI NDIO INAKARIBIA KUCHAA NA KUWA ASUBUHI.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment