Sunday, December 6, 2015

HAYA TUSHAIONA MELI MPYA YA MV MAPINDUZI 2 SASA KUMBEEEeeee

MELI MPYA WEEE MELI MPYA WEEE KUMBEEEEEEEE
HIYO NI MILIKI WA SEREKALI NA HII HAPA CHINI MTU BINAFSI IPI INAONEKANA MPYAGPS data zinasoma kwamba kuna meli inayoitwa POSCO PLANTEC 13SV01, IMO No. 9708485, Call Sign 51M254, ambayo katika database ya AIS (Automatic Identification System) inaonekana kama MAPINDUZI II, iko Zanzibar kama inavyoonekana katika picha. Hii ina maana kwamba katika database za Maritime, bado inaendelea kujitokeza kwa jina lake la asili. Sisi walipa kodi wa Zanzibar tuna haki ya kuhoji kama kweli meli ni mpya au reconditioned.
Tukumbuke kuwa IMO number haiwezi kubadilika, hata meli itakapobadilishwa jina, mmiliki au kampuni kwa sababu ni nambari inayotumika kwa sababu za kiusalama na kuondosha udanganyifu katika soko la Marine. IMO ya Mapinduzi II ambayo imechorwa ubavuni, nyuma upande wa kulia ni 9708485. Namba ile ile kama ilivyokuwa katika registration ya jina la POSCO PLANTEC 36SV01.
Tunataka kuamini kwamba ni mpya, lakini hali ya meli yenyewe na information zinazojitokeza zinaendelea kutusuta kwamba ni kinyume chake.Serikali inapaswa kuliangalia hili kwa jicho pana hasa ikizingatiwa imetumia pesa nyingi sana (dola za Marekani milioni 30.8) na kama ikigundulika kumefanyika ufisadi, basi wahusika wachukuliwe hatua haraka kwa style ya Rais Magufuli. Wakaguzi wa nje wa Serikali wapo (nitatoka likizoni ikibidi) na wana taaluma ya kutosha katika masuala ya procurement. Watumike hawa kufuatilia hili.
#MagufulificationIsRequired #tusimezeeubadhirifu

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

2 comments:

  1. Posco ni kampuni iliyotengeneza meli hiyo.
    wacha kupotosha umma. angalia chini hapa
    http://www.naval-technology.com/contractors/warship/sener/presssener-signs-contract-posco.html

    ReplyDelete
  2. unajuwa kupotosha umma ni nini omar mahzei ziad au unasema tu kuwa napotosha umma.....?

    ReplyDelete