Wednesday, December 2, 2015

MELI MPYA YA MV MAPINDUZI 2 IMEWASILI NCHINI ZANZIBAR

Meli ya MV MAPINDUZI II yatia nanga Bandari kuu ya Zanzibar ikitokea Korea Kusini. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar
Meli ya MV MAPINDUZI II yatia nanga Bandari kuu ya nchi ya Zanzibar ikitokea Korea Kusini.
Meli mpya ya  MV. MAPINDUZI II ikiwa nje kidogo ya Bandari ya Zanzibar kabla ya kufunga gati bandarini hapo
Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikiwa nje kidogo ya Bandari ya nchi ya Zanzibar kabla ya kufunga gati bandarini hapo.
Sehemu ya ndani ya Meli ya MV. MAPINDUZI II itakayotumika kwa ajili ya mapumziko kwa   abiria  watakao safari
Sehemu ya ndani ya Meli ya MV. MAPINDUZI II itakayotumika kwa ajili ya mapumziko kwa abiria watakao safari na meli hiyo.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment