Friday, December 4, 2015

PICHA ZA KITUO/STUDIO ZA HITS FM KILIVYO TIWA MOTO NA HAO WASHENZI WASIO NA MILA WALA TABIA


Mmiliki wa Kituo hicho cha Hit Fm Mohammed Abdalla Mohammed akizungumza na waandishi wa habari kutokana na hasara aliyoipata kwa moto huo na kulaani kitendo hicho cha kutiliwa moto studio yake na kuweza kupata hasara kutokana na kuunguwa kwa vifaa vya studio hiyo.
Watangazaji mahiri wa kipindi cha Msisimko wa Pwani ndani ya studio za Hits FM, kulia ni Samira Suleiman na kushoto ni Sauda Mkalokota. Studio za kituo hicho zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana
KITUO AU STUDIO YA HITS FM ILIVYO KUWA KABLA YA KUTIWA MOTO NA WAHUNI WANAO LINDWA NA CCM NA POLISI

Mwandishi akimuhoji Mkuu wa Utawala wa Afisi Kuu ya CCM alipofika kuangalia kituo hicho cha Hit Fm kujionea hasara iliopata kituo hicho

HAWA NDIO HAO WAHUNI WANA FANYA KILA USHENZ WAPO HAPA NCHINI ZANZIBAR WANARANDA NA SILAHA NA MAGARI NA WALA POLISI HAWAWAKAMATI MAANA YAKE NI NINI....?? HAWA HAWA NDIO WALIO FANYA USHENZI COCONUT FM,KUPIGA WATU SIKU ZA UWANDIKISHWAJI NA SASA WASHAKITIA MOTO KITUO/STUDIO YA HITS FM NA APO HAPA HAPA UNGUJA NA WATU WANAWAJUWA NA POLISI WANAWAJUWA.


Vifaa vya kutangazia katika Studio hiyo vikiwa vyote vimeteketea kwa moto huo, uliosababishwa na Wahuni wanao julikana vizuri sana kwa vitimbi vyao kwani hii sio mara ya kwanza kufanya hivi usiku wa juzi.na kuteketea kwa vifaa vyote vya utangazaji katika Studio hiyo ilioko Migombani Mjini hapa nchini Zanzibar. baada ya kuvyamiwa na kundi hili la wahuni na kutenda hujuma hiyo.

Waandishi wa habari wakitembelea Studio hiyo kuagalia uharibifu ulitoyokea.

Waandishi na Wananchi waliofika kujionea moto uliounguza kituo hicho cha Redio cha Hit Fm kilichoko migombani hapa nchini Zanzibar.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment