Wednesday, December 16, 2015

VIDEO-WAZANZIBARI WAISHIYO NCHINI SWEDEN WAANDAMANA KUDAI MSHINDI ALIYE SHINDA UCHAGUZI ATAGANZWE MARA MOJA

MAANDAMANO YA WAZANZIBARI NCHINI SWEDENTaswira za Maandamano ya Wazanzibar Diasporan wa nchi Tanganyika,Zanzibar pamoja na wapenda amani na Demokrasia kote ulimwenguni. leo Jumatatu Wazanzibari waishio nchini Sweden na wapenda amani ya Demokrasia Dec 14, wameandamana huko Stockholm Sweden kwenye Parlament (Riksdag) kutaka Bunge na Serikali ya nchi hiyo kuibana Jamhuri ya Muungano feki wa Tanganyika ((Tanzania)) ili iheshimu maamuzi ya wananchi wa nchi ya Zanzibar waliyoyafanya kupitia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktoba, 2015.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment