Saturday, February 13, 2016

MAKAO MAKUU YA CCM ZANZIBAR TAFRANI HAWAJIJUWI HAWAJITAMBUI KUHUSU UCHAGUZI WAO HARAMU

Toka Kisiwandui +259
Bint Wa Kingazija za chini ya kapet
Mjengoni si shwari, watu 40 walipiga kura ya siri kuangalia ni wanachama wangapi wanataka urudiwe na wangapi wanakubaliana na matokeo ya awali ya uchaguzi.
Kweli kwenye wabaya na wema wapo..., kilichotokea kimetia hasira sana mjengoni, kwani fikra zao katika waliochaguana walidhani wale wanaopachikwa majina ya upinzani ndani ya umoja wao ndio watakuwa hawaungi mkono marejeo.
Baada ya kuhesabiwa kura, matokeo yakawa 50 kwa 50, yaani 20 kura zikasema urudiwe na 20 kura zikasema usirudiwe.
Hivyo hofu imewaingia hata kwenye hayo marejeo yao pekeyao, wamezidi kujitisha.
Mwaka huu tutashuhudia mengi mno....
MAENDELEO YA CCM TUNAYAONA SI HABA MIAKA 50 NA USHEA MAJI BOLBOL UTAFIRI UKO MAIMI BEACH KWA MAJI YALIVYO JAA NDANI YA ZANZIBAR

KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU 

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment