Friday, March 25, 2016

VIDEO-MAHOJIANO YA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD KUHUSU UCHAGUZI WA JECHA. U.N.TUNAWAOMBA MJE ZANZIBAR KUJA KUCHUGUZA MADHILA TUFANYIWAYO NA CCM NA VIONGOZI WAKE AU MNASUBIRI MPAKA WATUMALIZE


Salma_
999421_10206080035696705_2607240507663598007_n


10464141_1176213469064368_2876723535492258797_n
mkoani
12190038_10205263573132780_8067397132018384983_n
12079538_10205263573212782_1002409622269273343_n
USHINDI WA SHEIN NDIO HUU WA KISHINDO
Tunaomba Iko haja ya wananchi wa Zanzibar kudai haki yetu ya kimsingi katika umoja wa Mataifa zidi ya hujuma tunazo fanyiwa wananchi wa kawada na chama tawala cha CCM miaka nenda miaka rudi. Iko haja ya kuandika barua nakukusanya ushahidi wamatokeo na kumpa Ndugu yetu Bi Salma Saidi kwenda UN katika kitengo cha haki za kibinadamu kuwauliza . Jee wananchi wa Zanzibar hawana haki na wametolewa katika kitengo hicho ndio maana Viongozi wa CCM wafanya watakavyo....?? Hivi sasa wananchi wa Zanzibar imekua tunaishi kwa hofu na hatuna tena imani na vyombo vya Serekali Dola kutulinda sisi na malizetu imekua wao ndio madui zetu .
WANANCHI WA ZANZIBAR TUNAIOMBA JUMUIA YA KIMATAIFA KUJALI HAKI ZA WANANCHI WA ZANZIBAR.
Wzanzibar wote waloko nje na wananchi wote wenye kupigania haki za binadamu tunawaomba mufanye mandamano special ya kupaza sauti kutokana na uvunjaji wa haki za binadamu tunavyo fanyiwa Zanzibar. Tunakuomba Dada etu Bi Salma Saidi tukushikishe bendera hii uweze kutaga ulimwengu mpaka New York kwenda kudai haki zetu za wanyonge wa Zanzibar kuonewa .
WHY PALALA WA PAKISTANI KAWEZA WAZANZIBARI TUSHINDWE....??
Bi Salma kwa vile ni moja wa victim wa haki za binadam tunataka tukushikishe bendera ili uzungumke ulimwengu kwenda ku up voice ya wananchi wanyonge wa Zanzibar. Vitendo vilivyo fanywa Zanzibar na watawala wamejisahau kwa vile hakuna hatua zozote za U.N zidi ya uchiguzi wa wasiri Zanzibar ulio fanywa. Tunataka sauti yetu na sisi isikike ili tuletewa watalamu kuja kuchunguza kinachofanyika Zanzibar zidi ya raia wema wasio na hatia yoyote.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment