Tuesday, March 22, 2016

HONGERA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA NA VIBARAKA WAKO KWA KUJITEKENYA WENYEWE NA KUCHEKA WENYEWE NA KIJIUCHAGUZI CHENU CHA KUENDELEZA UKOLONI WA KUITAWALA NCHI YA ZANZIBAR KIJESHI

IMG-20160321-WA0032

WAZANZIBARI WANATAKA HIVI ILA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HATAKI HIVI NDIO MAANA AKAKUBALI KUFANYA TENA UCHAGUZI WA HARAMU NA KUMUWEKA RAISI HARAMA ILI WAENDELEZE HARAMU ZAO HONGERA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KWA KUZIDI KUTHIBITISHA KWA WAZANZIBARI KUWA WEWE HUITAKI NCHI YA ZANZIBAR MEMA NA WALA HUTAKI NCHI YA ZANZIBAR IENDELE NA HUKO TAYARI KUIONA ZANZIBAR IKIWA NA VIONGOZI WAZURI UNATAKA HAYO MAZEZETA ILI MUZIDI KUIDUMAZA NCHI YA ZANZIBAR TUNAKUSHUKURU KWA KUZIDI KUWAELEMISHA WAZANZIBARI JINSI WEWE MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ULIVYOKUWA NA ROHO MBAYA KABISA ZAIDI YA YA WAZANZIBARI NA NCHI YAO YA ZANZIBAR PIA.

Kumbe Shein Muoga kweli Duuuuuh!!! Usalama umeimarishwa visiwani. Hapa chini ni maafisa wa usalama wakiwa na mbwa wa kunusa kabla ya Dkt Shein kupiga kura yake katika kituo cha Bungi, Unguja.

UCHAGUZI WA 2010 ALIPO SHINDWA NA KUSUBIRI  NUSURA YA MZEE MOYO NA UPOLE WA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD

UCHAGUZI WA MARUDIO HANA HAJA YA KURA ZA WAZANZIBARI WALA NUSURA YA MZEE MOYO WALA UPOLE WA MAALIM  SEIF SHARRIF HAMAD SASA ANA NUSURA YA JESHI LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ILI MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA AENDELEZE UKOLONI WAKE HUKU SHEIN AKIENDELEA KUJIDANGANYA KUWA YEYE NA RAISI

USHINDI WA KISHINDO KASHINDA SHEIN TUMEWAONA WALIO KUCHAGUWA


Rashid
MASKINI UMAKAMO WA URAISI UNAMTOWA ROHO USIJALI UTAKUWA NA UMAKAMO WA KIDHALIMU ILI ROHO YAKO ITULIE BABA USIJALI

Barabara
Biashara
Wasomi na wachambuzi wa siasa, wameelezea hatua ya Chama cha Wananchi (CUF) kususia uchaguzi mkuu nchini Zanzibar, uliofanyika jana na idadi ndogo ya wananchi kujitokeza kupiga kura katika badhi ya vituo na kuna vituo ambavyo hata mtu moja hakuna kupiga kura wengi walikuwa na polisi na majeshi na CCM wakereketwa tafauti ukilinganisha na ule wa Oktoba 25, mwaka jana, kuwa ni anguko la demokrasia nchini humo.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (Zec), Jecha Firauni Jecha.
Januari 28, mwaka huu, jijini Dar es Salaam huko nchini Tanganyika kwa Wakoloni Weusi, CUF kupitia Baraza Kuu, ilitoa msimamo wake kuwa haitashiriki uchaguzi mkuu wa marudio, ikiwa ni siku chache baada ya tangazo la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (Zec), Jecha Firauni Jecha, kutangaza kuwa uchaguzi utarudiwa Machi 20, mwaka huu (jana). Hata hivyo, wakati uchaguzi huo ukirudiwa jana, vyombo vya habari vilivyokuwapo Zanzibar, vilieleza kuwa kuanzia asubuhi hadi mchana, kulikuwapo na idadi ndogo ya wananchi waliojitokeza katika vituo vya kupigia kura, kulinganisha na uchaguzi uliofutwa wa Oktoba 25, mwaka jana.Mhadhiri Mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia, Idara ya Uandishi wa Habari na Teknolojia ya Habari nchini Namibia, Julius Mtemahanji, alisema hatua ya CUF na wananchi kutojitokeza kupiga kura ni anguko la demokrasia.
Alisema kulingana na katiba iliyopo, ni vigumu kufanya chochote kwa kuwa atii Zanzibar ni nchi kamili, lakini serikali ya Rais Dk. John Magufuli, inaweza kutumia busara ya kuleta maelewano na maridhiano kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). “Hilo ni anguko la demokrasia ambayo ni mfumo wa uwakilishi. Anayeshinda atatawala vipi waliosusia uchaguzi....??  ((Tanzania)) inatakiwa ijihoji ni mpaka lini Mkoloni Mweusi Tanganyika ataendeleza Ukoloni Wake Wa Kuitawala nchi ya Zanzibar kwa kutumia guvu za Kijeshi na viongozi wachecha wanao jali maslahi yao kwa kuwa hata tayari kuwa Wazanzibari wauliwe lakini wao wabaki madarakani mpaka lini....?? Hii ni aibu kwa nchi ya Tanganyika Wakoloni Weusi, Mwanazuoni kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanganyika huko kwa Wakolo Weusi (UDSM), Prof. Ernest Mallya, alisema kinachotokea sasa nchini Zanzibar kiliwahi kuzungumzwa na baadhi ya viongozi wa CCM.
 Alisema kuna mmoja wa wawakilishi wa nchi hiyo Zanzibar aliwahi kuzungumza kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), haiwezi kuondolewa madarakani kwa kutumia karatasi za kura.Alisema kuna vitu vinavyoendelea katika Uchaguzi wa Zanzibar ambavyo ni aibu kwa taifa. Alisema hatua ya CUF kujitoa katika uchaguzi huo na wananchi kususia kwa kutojitokeza kupiga kura, inaashiria wameshaona kuwa haki yao ya kikatiba haitapatikana hata wakishiriki kupiga kura.Uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar ulifanyika jana baada ya ule wa awali wa Oktoba 25, mwaka jana, kufutwa na Mwenyekiti wa Zec, Jecha kwa kuona CCM imeshindwa na inaondoka madarakani kwa vikaratasi ambavyo wao CCM awali walisema hawata ondoka kwa vkaratasi sasa Jecha alivyo ona tu CCM inangoka yeye na Mkoloni Mweusi Tanganyika ndio wakaja na mpango wa kufuta uchaguzi ulio kuwa wa halali kabisa na kujaribu kutaka kuwachezea akili hawakujuwa kuwa Wazanzibari wanaijuwa siasa kabla hata ya huyo Mkoloni Mweusi Tanganyika kuijuwa siasa na kufanywa kuwa Mkoloni na Kuikoloni nchi ya Zanzibar kwa guvu za Kijeshi kwa hiyo wakaja na kiuchaguzi chao basi Wazanzbari wakatulia majumbani mwao wao na majeshi yao na Mkoloni Mweusi Tanganyika kutaka kuendelea kuitawala nchi ya Zanzibar wakatekanyana wenyewe kisha wakacheka wenyewe aibu juu ya aibu
Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, alisema Zanzibar hakuna uchaguzi wowote unaoendelea.Alisema kinanachofanyika kwa sasa ni CCM kutafuta uhalali wa mchakato wa kutaka Rais Dk. Ali Mohamed Shein kuendelea kuongoza nchi ya Zanzibar.“Wanataka Dk. Shein aendelee, lakini wanashindwa watumie mbinu gani, na ndiyo maana wanalazimisha uchaguzi ufanyike,” alisema Kafulila.Aliongeza kuwa uchaguzi wa Zanzibar unafanyika bila ya kuwapo na waangalizi kutoka Ulaya, na kwamba waangalizi waliopo Zanzibar wanatoka ndani ya Bara la Afrika ambao wengi wao ni marafiki wa CCM
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment