Tuesday, March 15, 2016

MLIAMBIWA ZAMANI NCHI IKIHARIBIKA BASI HATA NYINYI HAMUTAISHI KWA SALAMA HAMKUSIKIA


Mripuko mkubwa umetokea katika nyumba ya Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame jana saa 5 usiku maeneo ya Kijichi. Kamishna mwenye amethibitisha tukuo hilo ambalo amesema limeathiri paa na dari ya nyumba yake. Na huko Pemba watu 31 wamekamatwa na polisi wakidaiwa kuhusika na matukio mbaou mbali ya kihalifu ikiwemo kuchoma maskani.

No comments:

Post a Comment