Thursday, March 31, 2016

SHEIN BAADA YA KUMALIZA KUJIAPIZA SASA ANAENDELEA KUWAPIZA NA WENZAKE WANAENDELEA TU NA HARAMU


Balozi Mkazi akielekea sehemu ya kula kiapo cha kujiapiza alipokuwa akiapizwa na Muapizwa mwenzake baada ya kumalizakujiapiza Amani Stadium sasa anaendelea kuwapiza na wenzake Shein katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini nchini Zanzibar huku wakishuhudiwa na Masheikh Wanafiki Wakubwa wote kwa pamoja wakishirikiana kuendeleza HARAMU.

Shein akimuapizaa Balozi Mkazi wanendelea tuu na HARAMU

Shein (kushoto) akibadilishana mawazo ya kuapizana na Balozi Mkazi baada ya kumaliza kumuapiza rasmi leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja nchini Zanzibar.

KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment