Tuesday, March 22, 2016

VIDEO-DA SALMA AKIZUNGUMZA NA WANDISHI NA AKIELEZEA JINSI WALIO MTEKA WALIVYO MPIGA NA MANENO YA VITISHO


SHEIKH FARID PIA WALIMTEKA KISHA WAKASEMA ALIJITEKA NDIO MCHEZO WAO WASHAZOE KUTEKA WATU NA KUTESA WATU TUNAJUWA NI HAO HAO POLISI MAZOMBI SI WAPO ZANZIBAR NA WANARANDA NA SILAHA NA KUPIGA WATU NA POLISI WANA SEMA HAKUNA MAZOMBI.

KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment