Thursday, April 28, 2016

NCHINI ZANZIBAR MARADHI YA KIPINDUPINDU YA UWA WATU 53 NA 3200 WAKIENDELEA NA MATIBABU


Wakati mvua zikizidi kuendelea kunyesha nchini Zanzibar watu 53 wamefariki na 3200 wamepatiwa huduma za matibabu za magonjwa ya Kipindupindiu huku shule na migahawa ikifungwa kwa muda usiojulikana.
Waziri haramu wa kupachikwa katika serikali haramu atii wa afya nchini Zanzibar Mahmud Thabit Kombo ametoa kauli hiyo wakati akitoa tathimini ya ugonjwa huo hatari wa Kipindupaindu ambapo amesema katika kipindi cha miezi saba watu hao wamefariki ikiwa ni idadi iliyoripotiwa kutoka vituo rasmi vya afya vya Unguja na Pemba. 
Hata Mahmud Thabit Kombo amewahakikishia wananchi wa Zanzibar kuwa serikali imejiandaa kwa nguvu zote kudhibiti ugonjwa huo na ina dawa za kutosha za serikali na misaada kutoka WHO na UNICEF na hali kwa hivi sasa imeanza kuthibitiwa ambapo idadi ya wagonjwa wanofika kwenye kambi maalum imeanza kupungua ambapo siku ya Alhamisi wagonjwa 45 walipokelewa.
Hali kisiwani Zanzibar imekuwa yawasiwasi kwa wakazi wake kutokana na mripuko wa ugonjwa huo huku shule zote za serikali na zile za chekechea zikiwemo za kibinafsi zimefungwa na karibu migahawa na nyumba zinazotoa huduma za chakula zote zimesitishwa.
SIKU ZA CHAGUZI SIMUNALETA MAJESHI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA JAMAA WA MRIMA SASA MARADHI MBONA HAMULETI MADOKTA NA MANASI WA KUTIBU.

KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATUPINDUWA TENA WAZANZIBARI NA KUWEKA VIONGOZI WAWATAKAO WAO WAKINA BT TUNAENDELEA TENA KUKA CHINI YA SERIKALI YA KIKOLONI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA MIAKA MITANO IMALIZIKE KISHA TUTIWE TENA KATIKA SHENGESHA LA UCHAGUZI NA KUPIGA KURA KISHA WAZANZIBARI WAPIGE KURA NA KUCHAGUWA VIONGOZI WAWATAKAO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ATAKUJA NA STYLE MPYA YA KUZIPIGA KURA ZA WAZANZIBARI CHINI NA KUTUEKEA VIONGOZI WAWATAKAO KISHA TUTAKA TENA CHINI NA KUSUBIRI UCHAGUZI WA 2025 MAMBO YATAKUWA HIVYO HIVYO KISHA TUTAKA CHINA NA KUSUBIRI UCHAGU WA WA 2030 TUKIWA HAI KAMA HATUKO TENA WATAKAO BAKI WATAFANYIWA TENA HIVYO HIVYO NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KISHA WATAKA CHINI WASUBIRI......>>> MPAKA KIYAMA KISIMAME BASI NI BORA TU TUKUBALI KUWA NDIO TUMEKUBALI KUWA CHINI YA MKONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO UPUMBAVU HUU WA UCHAGUZI AMBAO KILA MOJA WETU HAPA ZANZIBAR KAMA UCHAGUZI WA MARA HII HAUJAWASOMESHA WALA HATUTA SOMA TENA MILELE. 

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment