Thursday, April 7, 2016

VIDEO-SIO KILA WAZIMU NI LAZIMA UVUWE NGUO UNAWEZA UKAVA SUTI LAKINI NI MWANDAWAZIMU KWA VITENDO VYAKO NA MISEMO YAKO.


Wewe hata ulazimishe vipi au utese watu vipi au uwe watu vipi utabaki kuwa Shein tuu amesema hakuna chama kilichokidhi matakwa ya kikatiba kutoa makamu wa kwanza wa Rais kasahau na yeye pia hakukidhi miaka mitano iliyo pita na hata hii mitano unayo lazimisha haujakidhi kuwa Rais na ndio maana hakuna Mzanzibari aliye kupigia kura ikabidi uwekwe na jeshi la wakuria kutoka mrima Wakoloni Weusi Tanganyika. Shein aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza na Baraza la Wawakilishi nchini Zanzibar kwa mara ya kwanza tangu kulazimisha kubaki madarakani kwanguvu na kuendelea kulindwa na jeshi la Mkoloni Mweusi Tanganyika na kuendelea kulazimisha kwa kutumia mazombi na kuongoza Umma wa Wazanzibar kwa lazima.

''Hakuna Chama chama kinachokidhi kutoa makamu wa kwanza wa Rais huo ni uamuzi wa wananchi na ni uamuzi wa kidemokrasia unaostahili kuheshimiwa ''Alisema Shein. ((je si wandawazimu huu anao usema huyu))

Aidha Shein katika hotuba yake kwa Baraza hapo pamoja na wananchi wa Zanzibar aliahidi kuhakikisha Zanzibar inasonga mbele kimaendeleo kwa kujenga viwanda maeneo mbalimbali na kuboresha huduma za kijamii pamoja na kupandisha mishahara hadi kufikia shilingi laki 3 kwa kima cha chini.

Pia Shein alisema ataongoza Zanzibar kwa haki na watu wote ni lazima wafahamu kwamba yeye ndiye Rais ambaye alichaguliwa kwa asilimia 91.4 hivyo uchaguzi haupo tena hadi mwaka 2020.

Chezea binadamu lakini sio M,Mungu na kitabu chake kitukufu na katika mambo yanayo mudhi M,Mungu ni dhulma ndio maana M,Mungu akawa hamna hata pazia kati yake na mdhulumiwa sikuambi tena wewe unafanya dhulma ya kuidhulumu nchi nzima.

KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.


No comments:

Post a Comment