Monday, April 4, 2016

TUWACHANGIE NDUGU ZETU WA TUMBATU KUTOWA NI MOYO SIO UTAJIRI

Picture4
Assalaam alaykum ndugu Wazanzibari popote pale mlipo, kama mnavyojua kwamba ndani ya wiki hii kuna vitendo vya kihalifu vimefanywa na vikosi vya SMZ na hujuma kubwa wamefanyiwa ndugu zetu wa Tumbatu, wengi wao kwa sasa hawana makaazi, wanapata hifadhi kwa jamaa zao, hili si la mmoja leo kwao kesho kwako, utakachokitoa utakikuta mbele ya Allah.
Kwa hivyo yoyote alijaaliwa anaweza kufikisha mchango wake kwa viongozi waliopewa dhamana hiyo na in shaa Allah sadaka zao zitafika, Bonyeza hapa kuwasiliana na wahusika.

No comments:

Post a Comment