Thursday, April 14, 2016

VIDEO-KUMBUKUMBU ZA MAVAMIZI ((MAPINDUZI)) NA PICHA ZA KUAPISHWA KWA MAWAZIRI HARAMU NA MUENDELEZO WA KIVAMIZI ((KIMAPINDUZI)) NA KUWAFUNGA WAZANZIBARI JELA BILA YA HATIA YOYOTE

KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA

KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA - 2
ANGALIA VIDEO HIZI MBILI NDIO UTAELEWA NINI WANACHO FANYA SHEIN NA KUNDI LAKE LA MAHARAMIA

KWA WAZANZIBARI WASIO JUWA NI KUWA HAKUNA CHA CCM WALA NINI KILICHOPO NI KUWA WAZANZIBARI TUMEPINDULIWA NA JESHI LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA AMBALO SASA LINAENDESHWA NA POMBE MAGUFULI NA WALA MSIJIDANGANYE KUWA UCHAGUZI WA 2020 MTAPATA NCHI YA ZANZIBAR NGOOO HATUIPATI KWANI HUU UCHAGUZI WA 2015 SITUMAPIGA KURA NA MAALIM KASHINDA NA HAKUPEWA NA MIAKA ILIYO PITA HIVYO HIVYO KWA HIYO WALE WANAO JIDANGANYA KUWA 2020 ATI MTAPEWA YAGUJUUU NCHI HANAYO SHEIN HUYU NI SANAMU TU KAMA LILE SANAMU LA MZEE KARUME PALE KISIWANDUWI HAWASHI WALA HAZIMI NCHI HII IMO MIKONONI MWA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA NDIO WALIO ISHIKA NA KUITAWALA NCHI YA ZANZIBAR KWA KURA TUSAHAU.KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATUPINDUWA TENA WAZANZIBARI NA KUWEKA VIONGOZI WAWATAKAO WAO WAKINA BT TUNAENDELEA TENA KUKA CHENI YA SERIKALI YA KIKOLONI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA MIAKA MITANO IMALIZIKE KISHA TUTIWE TENA KATIKA SHENGESHA LA UCHAGUZI NA KUPIGA KURA KISHA WAZANZIBARI WAPIGE KURA NA KUCHAGUWA VIONGOZI WAWATAKAO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ATAKUJA NA STYLE MPYA YA KUZIPIGA KURA ZA WAZANZIBARI CHINI NA KUTUEKEA VIONGOZI WAWATAKAO KISHA TUTAKA TENA CHINI NA KUSUBIRI UCHAGUZI WA 2025 MAMBO YATAKUWA HIVYO HIVYO KISHA TUTAKA CHINA NA KUSUBIRI UCHAGU WA WA 2030 TUKIWA HAI KAMA HATUKO TENA WATAKAO BAKI WATAFANYIWA TENA HIVYO HIVYO NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KISHA WATAKA CHINI WASUBIRI......>>> MPAKA KIYAMA KISIMAME BASI NI BORA TU TUKUBALI KUWA NDIO TUMEKUBALI KUWA CHINI YA MKONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO UPUMBAVU HUU WA UCHAGUZI AMBAO KILA MOJA WETU HAPA ZANZIBAR KAMA UCHAGUZI WA MARA HII HAUJAWASOMESHA WALA HATUTA SOMA TENA MILELE. 


KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment