Friday, April 1, 2016

VIDEO-MEJJA A.K.A.'OKWONKOO'- Mi Nayo (Beat Ya Keggah)WAZANZIBARI WANAPO ONESHA CHAGUO LAO NA RAISI WAO WALIYE MPIGIA KURA

MI NAYO MI NAYO MI NAYO MI NAYO

MAALIM SEIF RAISI WAO
MAALIM SEIF MWALIMU WAO
MAALIM SEIF KIBOKO YAO
MAALIM SEIF JABARI WAO
MAALIM SEIF SIMBA WA NYEKA WAO
MAALIM SEIF ANAWANGALIA TU NA UKIRITIBWA WAO YOO

MI NAYO MI NAYO MI NAYO MI NAYO

MAALIM SEIF ANAWAMALIZA YOO
MAALIM SEIF ANAWALIZA YOO
MAALIM SEIF ANAWACHEKI YOO
MAALIM SEIF ANAWALA ROHO YOO
MAALIM SEIF HAWAPI USINGIZI YOO
MAALIM SEIF ANAWAUMIZA VICHWA VYAO YOO

MI NAYO MI NAYO MI NAYO MI NAYO

MAALIM SEIF WAZANZIBARI WANAMPENDA YOO
MAALIM SEIF WAZANZIBARI WOTE WANA MUUNGA MKONO YOO
MAALIM SEIF NA WAZANZIBARI NA WAZANZIBARI NA MAALIM SEIF YOO
MAALIM SEIF ANA MOYO SAFI KWA WAZANZIBARI YOO
MAALIM SEIF MAISHA BORA KWA WOTE YOO
MAALIM SEIF ANAWAUNGANISHA WAZANZIBARI WOTE YOO

MI NAYO MI NAYO MI NAYO MI NAYO

CCM MUMETUTIA NJAA HAPA ZANZIBAR YOO
CCM MUMETUTIA UFUKARA HAPA ZANZIBAR YOO
CCM MSHATUUWA NA KUTUPIGA SANA YOO
CCM HEBU ANGALIYENI NCHI MULIVYO IHARIBU YOO
CCM NCHI HII MASKINI WAKATI WAO WANAMAJUMBA KUMI NA MOJA YOO
CCM NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA WANATA KUTUMALIZA YOO
CCM MIAKA 50 NA USHEAYA ANGALI NCHI KAMA MATAPISHA YA MBWA YOO

MI NAYO MI NAYO MI NAYO MI NAYO

FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI TUNA MPONGEZA SANA MEJJA KWA NYIMBO YAKO KALI SANA JAPO SISI TUMEITAFSIRI VINGENE KUTOKANA HALI TULIYO NAYO HAPA NCHINI KWETU ZANZIBAR PIA TUNAKUOMBA RADHI IKIWA HAITAKUFURAHISHA ILA SISI TUMEIPENDA SANA BIG UP MEJJA OKWONKO BEAT YA KEGGAH SAFI SANA BIG UP KWA HII BEAT YAKO.

No comments:

Post a Comment