Tuesday, April 12, 2016

VIDEO-WAPIGANAJI WA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUMBUKUMBU ZA MWL NYERERE

HII NI VIDEO NZURI SANA KWA WALE WANAO JITIA UPOFU KUWA HAKUNA NCHI ITWAYO TANGANYIKA NA KUENDELEA KUJIBATIZA ((TANZANIA))
PIA HAWATAKI KUONYESHA UKWELI WAPI ALIKUWA AKIFANYA MIKUTANO
YAKE NA KINA NANI ALIKUWA NAO KATIKA KUTAFUTA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA WANAENDELEA KUFICHA ILI ISIJULIKANE PIA KABLA YA MWL NYERERE NI NANI HASWA WALIO ANZA KUDAI UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA.

Mohamed Said - Azam TV na Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

No comments:

Post a Comment