Wednesday, June 29, 2016

DIKTETA UCHWARA NA SHEIN KIBARAKA WA MAKABURU WEUSI TANGANYIKA WANAENDELEA KUWATESA,KUWAPIGA RISASI PEMBA NA UNGUJA RAI WASIO NA HATIA YOYOTE


‪#‎BREKING‬ NEWZ Wakati huo huo huko chake chake wafusi wa CUF wapatao 20 walioshikiliwa na Polisi tokea juzi/Jana leo imeshindikana kusomewa Mashtaka yao baadaya hakimu kukataa kusikiliza kesi ya mtu anae tizamiwa roho baada ya kupigwa sana na Polisi
Kijana huyo alichukuliwa usiku nyumbani kwake Ziwani na kupelekwa ukhaibuni ambako alipigwa mpaka akakaribia kufa ndio akarejeshwa polisi na leo alipelekwa Mahakamani akiwa ktk machera/ Vitanga vya mikono


HALI PEMBA IMEZIDI KUWA MBAYA BAADA YA JESHA LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KUENDELEZA UKATILI ZAIDI YA RAI WASIO NA HATIA YOYOTE KISA TU NIKUWA WAMEKIKATA CHAMA HICHO KATIKA KURA ZA HALALI SASA NDIO DIKTETA UCHWARA NA KIBARAKA WAKE SHEIN WANAWAKOMOWA WAZANZIBARI KWA KUWAPIGA,KUWATESA,KUWAPIGA RISASI,KUWAIBIA MALI ZAO KUWAHARIBIA MALI ZAO N.K.

HIO NDIO HALI YA PEMBA

No comments:

Post a Comment