Thursday, June 23, 2016

VIDEO-MAENDELEO YAZIDI KUNAWIRI NCHINI TANGANYIKA SASA WANA SARAFU YA 50,000/-

CCM MBELE KWA MBELE TUNA SARAFU YA 50,000/- WALA HATUJALI CCM MBELE KWA MBELE TUNAJIKAZA KISABUNI CCM MBELE KWA MBELE NCHI ISHATUSHINDA LAKINI TUMO TU KUJIKAZA CCM MBELE KWA MBELE JAMANI AIBU HII OOOH USISEMA HIVYO TUTA CHEKWA CCM MBELE KWA MBELE.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizindua sarafu maalumu ya shilingi 50,000/- kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanganyika (Tanzania) Zanzibar kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam nchini Tanganyika Wazanzibari tuna pesa zetu za kuanzisha bank hii hatutaki tena turudishieni pesa zetu tuanzeshi pesa zetu wenye sarafu ya shillingi 50,000/- mumesikia wapi duniani hata somalia ambao wanavita kwa miaka karibia 30 na hakuna serikali basi hawana sarafu bado wana noti nchi mshainawa nyinyi mnajikaza tu kisabuni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizindua sarafu maalumu ya shilingi 50,000/- kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanganyika (Tanzania) Zanzibar kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Wazanzibari tuna pesa zetu za kuanzisha bank hii hatutaki tena turudishieni pesa zetu tuanzeshi pesa zetu wenye sarafu ya shillingi 50,000/- mumesikia wapi duniani hata somalia ambao wanavita kwa miaka karibia 30 na hakuna serikali basi hawana sarafu bado wana noti nchi mshainawa nyinyi mnajikaza tu kisabuni.

No comments:

Post a Comment