Wednesday, June 15, 2016

VIDEO-MELI YA MV MAPINDUZI 2: WAZANZIBARI WANAJUWA KUSOMA NAMBA NYINYI NDIO HAMJUWI NA SASA MNASOMESHWA KUSOMA NAMBA
Meli ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar MV MAPINDUZI inakabiliwa na changamoto kubwa la uhaba wa abiria katika safari zake inazofanya kwa ratiba maalumu kutoka Unguja kwenda Pemba na kutoka Pemba kwenda Unguja; jambo ambalo linahatarisha kusimama kwa ratiba yake endapo hali itabaki kama ilivyo sasa. Wananchi wa Zanzibar bila ya muhali wameamua kwa makusudi kuisusia Meli Kongwe ya MV MAPINDUZI kwa kutumia usafiri wa meli za Bakharesa ili kuikosesha pato Serikali ya Rais wa ZEC Ali Muhamed Shein. Akizungumza na mtandao wetu abiria aliepanda Meli hiyo wiki hii kutoka Pemba kuja Unguja amesema hali kwakweli si nzuri na inahuzunisha.
“Kwa upande mmoja ni raha kupanda MV MAPINDUZI, haina msongamano na viti vitupu tabaka zote, lakini upande wa serikali inaumia kupakia mizigo michache na abiria wasiozidi 60 katika ratiba ya safari zake” Alieleza abiria huyo kwa sharti la kutotajwa jina lake. Kafuatia taarifa hiyo Mtandao wetu ulifanya kazi kuzungumza na mmoja wa watendaji wanaohusika na menejimenti ya meli hiyo na alikua na haya ya kueleza “…….unapotia mafuta katika meli ili kwenda na ratiba ya safari za meli unatarajia kupata abiria wengi na mizigo ili kupata faida; kinachotokea sasa na hali inayoendelea ya siku hadi siku inasikitisha, soko la meli yetu linazidi kuanguka kutokana na migomo, Wananchi mbali mbali wameendeleza migomo ya kuisusia MV MAPINDUZI ili kuikosesha mapato serikali na kuwakataa watawala waliojiweka madarakani kinyume na sheria na katiba ya Zanzibar.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATUPINDUWA TENA WAZANZIBARI NA KUWEKA VIONGOZI WAWATAKAO WAO WAKINA BT TUNAENDELEA TENA KUKA CHINI YA SERIKALI YA KIKOLONI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA MIAKA MITANO IMALIZIKE KISHA TUTIWE TENA KATIKA SHENGESHA LA UCHAGUZI NA KUPIGA KURA KISHA WAZANZIBARI WAPIGE KURA NA KUCHAGUWA VIONGOZI WAWATAKAO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ATAKUJA NA STYLE MPYA YA KUZIPIGA KURA ZA WAZANZIBARI CHINI NA KUTUEKEA VIONGOZI WAWATAKAO KISHA TUTAKA TENA CHINI NA KUSUBIRI UCHAGUZI WA 2025 MAMBO YATAKUWA HIVYO HIVYO KISHA TUTAKA CHINA NA KUSUBIRI UCHAGU WA WA 2030 TUKIWA HAI KAMA HATUKO TENA WATAKAO BAKI WATAFANYIWA TENA HIVYO HIVYO NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KISHA WATAKA CHINI WASUBIRI......>>> MPAKA KIYAMA KISIMAME BASI NI BORA TU TUKUBALI KUWA NDIO TUMEKUBALI KUWA CHINI YA MKONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO UPUMBAVU HUU WA UCHAGUZI AMBAO KILA MOJA WETU HAPA ZANZIBAR KAMA UCHAGUZI WA MARA HII HAUJAWASOMESHA WALA HATUTA SOMA TENA MILELE.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment