Tuesday, June 14, 2016

VIDEO-MISIKITI MITATU YA JIMBO LA MAHONDA YAZIKATAA TENDE ZA BALOZI SEIF ALI IDDIHali ya kufadhaika imemkumba Balozi SEIF ALI IDDI baada ya tende zake zilizotokana na dhulma aliyowafanyia Wazanzibari kukataliwa katakata na Wananchi wa jimbo la MAHONDA. Walipoulizwa ni kwanini wamechukua maamuzi ya kukataa msaada huo na kuamua kuzigomea tende hizo, walijibu kuwa tende za Balozi haziko safi, na wameeleza kwamba tende hizo zitabadilisha funga zao.
Pia Wananchi wa jimbo hilo wanawaomba Wazanzibari wote nchi Nzima ya Zanzibar kugomea misaada yote inayotolewa na madhalimu hao kama walivyobainisha masheikh zetu watukufu Kisiwani Pemba wakati walipomwambia Mufti Mkuu wa Zanzibar akamwambie Dhalim Mkuu Aliyenyang’anya Haki za Wazanzibar 25 ctoba 2015 arejeshee kwa mwenyewe. Akisafiri kuelekea Dar-es-salam nchini Tanganyika kwa Makaburu Weusi Tanganyika kupitia uwanja wa ndege wa znz mapema asubuhi ya leo Balozi Seif Iddi ameonekana mwenye fadhaa baada ya kupokea taarifa za kukataliwa tende zake.
HONGERA WANANCHI WA MAHONDA KUKATAA TENDE ZA NDULI SEIF ALI IDDI…TUNATARAJIA NCHI NZIMA ISIKUBALI MSAADA WOWOTE WA KUTOKA KATIKA VIONGOZI HAWA MADHALIM.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATUPINDUWA TENA WAZANZIBARI NA KUWEKA VIONGOZI WAWATAKAO WAO WAKINA BT TUNAENDELEA TENA KUKA CHINI YA SERIKALI YA KIKOLONI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA MIAKA MITANO IMALIZIKE KISHA TUTIWE TENA KATIKA SHENGESHA LA UCHAGUZI NA KUPIGA KURA KISHA WAZANZIBARI WAPIGE KURA NA KUCHAGUWA VIONGOZI WAWATAKAO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ATAKUJA NA STYLE MPYA YA KUZIPIGA KURA ZA WAZANZIBARI CHINI NA KUTUEKEA VIONGOZI WAWATAKAO KISHA TUTAKA TENA CHINI NA KUSUBIRI UCHAGUZI WA 2025 MAMBO YATAKUWA HIVYO HIVYO KISHA TUTAKA CHINA NA KUSUBIRI UCHAGU WA WA 2030 TUKIWA HAI KAMA HATUKO TENA WATAKAO BAKI WATAFANYIWA TENA HIVYO HIVYO NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KISHA WATAKA CHINI WASUBIRI......>>> MPAKA KIYAMA KISIMAME BASI NI BORA TU TUKUBALI KUWA NDIO TUMEKUBALI KUWA CHINI YA MKONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO UPUMBAVU HUU WA UCHAGUZI AMBAO KILA MOJA WETU HAPA ZANZIBAR KAMA UCHAGUZI WA MARA HII HAUJAWASOMESHA WALA HATUTA SOMA TENA MILELE.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment