Monday, June 20, 2016

NCHINI ZANZIBAR PEMBA MAMBO SI SHWARI JESHI LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA LINA ENDELEA KUWABUGUDHI NA KUWAFANYIA VITIMBI RAI WASIO NA HATIA YOYOTE HUKO PEMBA


usiku wa kuamkia jana zamu ya mtambwe pemba mabomu ya machozi huko pemba.na isiku wa ijumaa ilikuwa zamu ya kungoni. wananchi wakishika magamba ya risasi zilizopigwa juu huko kungoni pemba.kuwaunganisha wazanzibar
Pombe Magufuli liambiye jeshi lako liacha vitimbi Pemba likomeshe lokome.

No comments:

Post a Comment