Friday, June 24, 2016

‎TANGAZO‬ MAALUMU KWA WAZANZIBARI WALIO NDANI YA VISIWA VYA ZANZIBAR:
#‪#‎TANGAZO‬ MAALUMU KWA WAZANZIBARI WALIO NDANI YA VISIWA VYA ZBAR: Serekali itastopisha mabucha ya nyama yote hapa nchini Zanzibar kutokuuza nyama kipindi cha siku kuuu ya Eid. Na wanasema kuwa watauza wao nyama kiserekali huko Maisara. Kilo ni sh 4000. Ndugu zangu waislam tunaoifunga Ramadhani tujue kwamba, nyama hizo watakazo uza ni za wale ngombe wa watu walio nyanganywa. Wafugaji wa mitaani walinyanganjwa ngombe wao na mbuzi, ni haraam kununua na kula haki ya mtu bila ya ridhaa. Tuweni makini saana tusiende kununua nyama za dhulma kwa ajili ya kuzilinda funga zetu.
Hio ni kwa Unguja mjini.

No comments:

Post a Comment