Tuesday, June 28, 2016

TULIDHANI WABUNGE WA VYAMA VYA UPINZANI NDIO WANAO TOKA BUNGENI KUMBE HATA CCM PIA DUUUUH!!!


Wabunge wa ccm wanalamika kuwa wanalazimishwa kuja na kuingia Bungeni kwani bunge halina ladha kufuatia naibu spika kukanyaga kanuni na taratibu, sasa wanatakiwa kujieleza kamati kuu ya ccm.

No comments:

Post a Comment