Saturday, June 18, 2016

VIDEO-POMBE MAGUFULI AFTARISHA MASHEIKH POA & MAUSTADHI POA-HUKU MASHEIKH WA KWELI BADO WAKO KATIKA JELA ZAKE

AMANI HAKUNA MPAKA HAKI ITENDEKE WEWE MAGUFULI HAKI UMEIKALIA KAMA NI KWELI UNATAKA AMANI MUONDOWE YULE SHEIN ALIYEWEKWA NA JESHI LENU WAKATI WA KIKWETE NA WEWE UNAENDELEA KUMLINDA MUONDOWE MPE ALIE SHINDA PIA MASHEIKH WALIO FUNGWA NA KIKWETE BILA YA KOSA LOLOTE NA MPAKA SASA WEWE UKO MADARAKANI NA UNAJUWA KAMA WAO WAKO JELA ILA UMEZIBA MACHO HUTAKI KUONA UMEZIBA MASHIKIO HUTAKI KUSIKIA NA UNAENDELEA KUWASOTESHA JELA KIPINDI HICHI CHA UTAWALA WAKO WEWE KISHA UNADAI AMANI HAKI ITENDEKE NDIO AMANI ITATAWALA KAMA HAKUNA HAKI HAKUNA AMANI MSIJIDANGANYE BURE NA WALA HAMSAMEHEWI IKIWA BADO MNAENDELEZA DHULMA HAMSAMEHEWI HAMSAMEHEWI HAMSAMEHEWI MAADAMU BADO MUNA DHULUMU MASHEIKH JELA MUMEDHULUMU KURA ZA WAZANZIBARI NA KUMUEKA SHEIN MKAE MKIJUWA HAMSAMEHEWI MPAKA MUACHE DHULMA ZENU NA MRUDISHE HAKI ZA WATU NA MTUBIE KWA MAKOSA MULIO FANYA YA KUDHULUMU HAPO PIA M.MUNGU ANA HIYARI YAKE KUWASAMEHE AU LAA.
MASHEIKH NA MAUSTADHI WOTE MLIO HUTHURIA MUALIKO HUU MJIANDAE VYA KWENDA KUMJIBU M.MUNGU SIKU YA SIKU TULIFIKIRI NI WANA SIASA TU NDIO WENYE MARADHI YA BT KUMBE MPAKA MASHEIKH NA MAUSTADHI PIA MNA MARADHI YA BT
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATUPINDUWA TENA WAZANZIBARI NA KUWEKA VIONGOZI WAWATAKAO WAO WAKINA BT TUNAENDELEA TENA KUKA CHINI YA SERIKALI YA KIKOLONI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA MIAKA MITANO IMALIZIKE KISHA TUTIWE TENA KATIKA SHENGESHA LA UCHAGUZI NA KUPIGA KURA KISHA WAZANZIBARI WAPIGE KURA NA KUCHAGUWA VIONGOZI WAWATAKAO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ATAKUJA NA STYLE MPYA YA KUZIPIGA KURA ZA WAZANZIBARI CHINI NA KUTUEKEA VIONGOZI WAWATAKAO KISHA TUTAKA TENA CHINI NA KUSUBIRI UCHAGUZI WA 2025 MAMBO YATAKUWA HIVYO HIVYO KISHA TUTAKA CHINA NA KUSUBIRI UCHAGU WA WA 2030 TUKIWA HAI KAMA HATUKO TENA WATAKAO BAKI WATAFANYIWA TENA HIVYO HIVYO NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KISHA WATAKA CHINI WASUBIRI......>>> MPAKA KIYAMA KISIMAME BASI NI BORA TU TUKUBALI KUWA NDIO TUMEKUBALI KUWA CHINI YA MKONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO UPUMBAVU HUU WA UCHAGUZI AMBAO KILA MOJA WETU HAPA ZANZIBAR KAMA UCHAGUZI WA MARA HII HAUJAWASOMESHA WALA HATUTA SOMA TENA MILELE.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment