Tuesday, June 28, 2016

WAKO WAPI LEO WAKO WAPI LEO WALIOJITA WANAMAPINDUZI WOTE KIMYA KATIKA TUMBO LA ARDHI LIMEWAMEZA NA KUWANYAMAZISHA KIMYA KIMYA KIMYA


WALITAMBA,WAKAJIVUNA,UBABE,WAKAPIGA WATU MIKWAJU BARABARA,WAKATESA WATU,WAKAUWA WATU,WAKAOWA WATOTO WA WATU KWA LAZIMA,WAKAIBA MAJOMBA YA WATU,WAKAIBA MASHAMBA YA WATU,WAKATAIFISHA MALI ZA WATU,WAKATAIFISHA WAKE ZA WATU,WAKALA HARAMU,WAKAVA HARAMU,WAKALALA KWENYE MAJUMBA WALIO YAPATA KWA HARAMU WAKAJENGA MAJUMBA KWA PESA ZA HARAMU N.K. MIAKA YA KUANZIA 1964 MPAKA SASA NI 2016 SERIKALI WALIO IWEKE WENYE BADO IKO NA INAENDELEZA HARAMU NA MITINDO KAMA WALIO FANYA WAO NA ZAIDI WAKO WAPI LEO MBONA HATUWASIKI WAKISEMA TUMBO LA ARDHI LISHA WAMEZA KIMYA CHINI HUKO WALIAMBIWA MUOGOPENI M.MUNGU IKO SIKU MTAONDOKA DUNIA MAPITO TU WAPI WAMELEWA NA RAHA ZA DUNIA LEO WAKO WAPI WAKO WAPI LEO WOTE KIMYA KATIKA TUMBO LA ARDHI LISHA WAMEZA.

No comments:

Post a Comment