Thursday, June 2, 2016

PART 2 YANAYO ENDELEA NCHINI ZANZIBAR KATIKA ZIARA ZA RAIS WA WATU,KIPENZI CHA WAZANZIBARI,LULU YA WAZANZIBARI RAIS MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD
karibu rais wetu


PEMBE LA NGOMBE KAMA KAWAIDA YAKE

KARIBU MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD RAIS WETU

TUKIMSUBIRI RAIS WETU KWA HAMU MAALIM SEIF

KARIBU RAIS RAIS RAIS RAIS

CCM HAWALALI KWA WIVU KUWA MAALIM ANAPENDWA

ALIPO TUPO ALIPO TUPU ALIPO TUPOOOOOO

ALIPO TUPO ALIPO TUPU ALIPO TUPOOOOOO

KILA MOJA ANATAKA KUMSALIMIA RAIS MAALIM SEIF

KARIBU RAIS KARIBU SANA SANA RAIS MAALIM SEIF

ULIPO TUPO ULIPO TUPO RAIS MAALIM SEIF

ULIPO TUPO WEWE RAIS SEMA TU UKO WAPI BASI NA SISI TUPO

ULIPO TUPO ULIPO TUPO

TUNAKUSUBIRI KWA HAMU RAS WETU MAALIM SEIF

SEMA DADA SEMA UWANJA WETU RAIS WETU NCHI YETU TUKO KWETU

KIBURUDISHO CHA DUFU KAMA KAWAIDA YANI RAHA

SEMA KAKA SEMA UWANJA WETU RAIS WETU NCHI YETU TUKO KWETU

SOTE TUNAMSUBIRI RAIS WETU MAALIM SEIF

ALIPO TUPO ALIPO TUPO

ALIPO TUPO ALIPO TUPO

ALIPO TUPO ALIPO TUPO

ALIPO TUPO ALIPO TUPO

ALIPO TUPO ALIPO TUPO

ALIPO TUPO ALIPO TUPO

TUKIMSIKILIZA RAIS WETU KWA MAKINI KABISA RAIS WETU NCHI YETU

TUKIMSIKILIZA RAIS WETU KWA MAKINI KABISA RAIS WETU NCHI YETU

ALIPO TUPO ALIPO TUPO

ALIPO TUPO ALIPO TUPO

SOTE TUNATAKA PICHA YAKE KATIKA SIMU ZETU KAMA UNAVYO TUONA TUNAPIGA TU PIC RAIS WETU MAALIM SEIF

Malim seif akijibu akieleza alivohojiwa na polisi.nimeulizwa mbona malim ulikuwa ukito kauli za ubaguzi kwa wanamchi wako..? malim akawajibu mimi sio mbaguzi ccm ndio wabaguzi tuliunda serikal ya kitaifa kuleta umoja lakini kuna mtu huyo ameletwa zanzibar kwa lengo kuwagawa wazanzibar na amefanikiwa mpaka serikal ya kitaifa imevunjwa watu hawazikani migomo kwa iyo ccm ndio wabaguzi waliovunja serikal ya umoja.na akasema cuf sio wabaguzi ila ccm ndio wabaguzi kwa sababu kuna wazanzibari wangapi hawakupewa vitambulisho vya mzanzibari lakini ccm wao wanapewa nani mbaguzi askari hapo anajinamia chini tu na akasema malim ajira ngapi za serikali cuf hawapewi kosa ni cuf ccm ndio wanapewa nani mbaguzi...? askari anainama chini.2 askari akamuliza malim kwa nini humtambuwi dk shein...? malim akajibu tulipitisha azimio la baraza kuu la cuf kama hatushiriki uchaguzi na hatutaitambuwa serikal itakayo undwa na dk shein hatumtambuwi.malim akasema hapo askari akamwambia malim seif uko huru na hatutakwita tena wala tarehe ya kuitwa haikupangwa.malim akawambia polisi fanyeni kazi kwa mujibu wa sheria sio itikadi ya vyama musikubal kuingizwa kwenye vyama.

ALIPO TUPO BABU WEEE

MAWAZIRI HALALI NA VIONGOZI WA CHAMA CHA WANANCHI CUF

WATOTO WAKIONYESHA MAPENZI YAO KWA RAIS WAO MAALIM SEIF

ULIPO TUPO RAIS WETU MAALIM SEIF KARIBU

WAWAKILISHI HALALI WALIO CHAGULIWA NA WANANCHI WAKITOWA MIKONO KUWASALIMU WANANCHI WAO WALIO WACHAGUWA

ALIPO TUPO ALIPO TUPO

RAIS MAALIM SEIF AKIWAPA MKONO WANANCHI NA VIONGOZI WA CHAMA

TUNAKUSUBIRI RAIS WETU MAALIM SEIF

BARZA ZINAZIDI KUJENGWA NA KUFUNGULIWA NCHINI KOTE

RAIS MAALIM SEIF AKIPITA MICHEZANI HUKU AKISHANGILIWA NA WANANCHI WOTE


No comments:

Post a Comment