Wednesday, July 27, 2016

VIDEO-DUBAI YA SHEIN HIYOOOOOO


CCM TUMEJIPAGA MWAKA HUU WATAISOMA
Dubai ya Dokta imeanza kuimarisha sekta gani....??
1. ELIMU...? Mbona juzi tu matokeo yameonesha Zanzibar imeboronga zaidi kielimu...??
2.AFYA...? Mbona hata chanjo za watoto hakuna tena hospitali.....??

3.BARABARA...? Mbona kule Fuoni bado tunakula vumbi, tunalala kwenye vumbi....??
4. AJIRA...? Mbona vijana na wasomi tunahangaika tunazunguka na CV zetu bila mafanikio...??
5. BIASHARA...? Mbona wafanyabiashara wanalalamika kila kukicha kuwa mambo magumu....??
6. USTAWI WA MAISHA...? Mbona wananchi wanazidi kudhoofu wanalia kila siku afadhali ya jana....??
KWELI SISI TUNAISOMA NAMBA ILA NA NYINYI MUNATIA IABU

No comments:

Post a Comment