Tuesday, July 19, 2016

HATIMAE VIONGOZI WA CUF WAPATA DHAMANA MAPAMBANO YANAENDELEA

HATIMAE WAPATA DHAMANA
Baada ya kukamatwa na kuekwa Rumande kwa siku 20 bila ya kufikishwa Mahakamani Kinyume na Sheria leo hii Viongozi wetu hao wametolewa kwa kupewa dhamana hapo Polisi Madungu Chake Chake.
1) Mhe.Said Ali.Mbarouk

2)Mhe.Hijja. Hassan Hijja

3) Mhe.Seif. Moh'd Khamis

4)Hamad. Mussa.Rashid.

No comments:

Post a Comment