Saturday, July 16, 2016

LILILOPO MUNALO LA KUTOKA CUBA HADI LUGALO....??‪#‎MzeewaCuba‬ jitihada zimeshindikana huko Cuba na Lugalo Military Hospital, coz mwanzo alianzia Cuba within two days WaCuba wakamwambia huwezekani matibabu hapa.
Ndio Dkt. wake akamwambia turudi Lugalo pale ninawajua madaktari wazuri usihofu Mzee utapona.
Wakaja Lugalo ndio kipindi kile mnakanganyana mara hajenda Cuba yupo Lugalo, lakini alikwenda Cuba wakashindwa ndio wakarudi lugalo nako hakuna liwalo.
Hivyo kwa sasa ni mwendo wa gloves za mikononi maana ngozi imeathirika kupita kiasi,na huku ana presha ya macho.
Jana usiku hali ilizidi kuwa mbaya na ikabidi asafirishwe usiku huohuo kupelekwa Lugalo military hospital kwakweli jamaa yamemfika anatoka maji kama mbirimbi mbovu,lakin haya analipwa maana ikumbukwe huyu alijisifu juu ya mateso wanayopatiwa Masheikh wa *Uamsho* sasa nayy Mungu anamudhibu.
Tokea hapo serikali yenyeww haina pesa nae anazikausha kwa safari za matibabu yanayogonga mwamba.
*KAMA WAMESHINDWA CUBA,LUGALO WATAKUWEZA?*
Hiyo ndio habari ya #MzeewaCuba.

No comments:

Post a Comment