Saturday, July 2, 2016

MAALIM SEIF AGOMA KUKAA PAMOJA NA BALOZI SEFU.HATA INGELIKUWA MIMI PIA NINGELIGOMA KUKA NAE KWA JINSI YA VITIMBI ANAVYO WAFANYIA WAZANZIBARI KATIKA NCHI YAO YA ZANZIBAR

 
MAALIM SEIF AGOMA KUKAA PAMOJA NA BALOZI SEFU.
Katika muendelezo wa kuigomea serikali haramu na viongozi wake wote, Maalim Seif jana aligoma kukaa sehem moja na balozi Sefu Ali Iddi wakiwa safarini.

Wawili hao walikutana ndani ya boti wote wakielekea Dar es salaam ambapo Maalim Seif alienda kwa shughuli zake za kawaida na balozi Sefu alienda kupanda ndege kwa ajili ya safari yake ya Quba ambako anaenda kimatibabu.
Taarifa zinaeleza kua awali wawili hao walipata sifa tofauti kabla ya Maalim kuingia ndani ya boti na kuamua kugoma kukaa pamoja na balozi Sefu.
Maalim wakati yuko bandarini anataka kuingia botini alipata wakati mgumu kupokea mikono ya wananchi ambao walikua na hamu na shauku ya kutaka kusalimiana nae huku balozi Sefu akishindwa kupewa hata mkono mmoja wa pole jambo ambalo lilimuacha katika mfadhaiko mkubwa.
Maalim alipoingia botini aliendelea kuthibitisha kua hayuko pamoja na madhalim kwani alikataa kata kata kukaa First Class sehemu ambayo alikueko balozi Sefu pamoja na captain wa boti hiyo kumtaka na kumuomba Maalim akae huko.
Hali hii ilipelekea balozi Sefu kujikuta akifurukuta na kushindwa kujua nini afanye na wapi akae na hatimae kujikuta akikaa peke yake First Class huku Maalim Seif akikaa na wananchi wa kawaida katika sehemu ya abiria wa kawaida.
Pamoja na hayo taarifa za ndani zinaeleza kua hali ya afya ya balozi Sefu kwa sasa sio mzuri na inataka moyo kuweza kukaa nae pamoja kwa kile kinachodaiwa kua mwili wake unatoka maji yenye harufu mbaya yatokanayo na mabalanga alionayo mwilini.
Pia inasemekana kua Balozi anasumbuliwa na maradhi ya presha ya macho(eye hypertension) maradhi ambayo ni sugu sana duniani.
# Mungu ibariki Zanzibar#

No comments:

Post a Comment