Tuesday, July 19, 2016

‪‎MSAADA_WA_UJENZI_WA_MSIKITI‬ MJI WA GOMA NCHINI CONGOA.ALEYKUM ndugu zangu katika Iman, leo nimekuja na ombi jengine la mchango kutoka kwa ndugu zetu wa goma nchini Congo 
Kama mnavyoona kwenye picha hizo ni msikiti wa waumini wa goma ambao HAUPO katika mazingira mazuri, wanatuomba tuwachangie kwa chochote tulicho nacho ili jengo lao la kufanyia ibada likamilike, hivo shime yoyote kati yetu ambae ALLAH atakuwa amemruzuku ziada ya kipato chake basi tunamhitajia atusaidie.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na Sheikh Suleiman Salim Mohamed kwa no zifuatazo
tigo pesa +255 659 096 888,
Mpesa +255 756 631 174
au kuwasiliana na mimi Hilmi Hilal kwa no hizi +971 52 255 7959
"Faliyatanafasu l'mutanafisun"
Wa billah taufiq.

No comments:

Post a Comment