Tuesday, July 26, 2016

PART 10 MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ANAENDELEA NA ZIARA YAKE HUKO NCHINI MAREKANI

Chaguo la Wazanzibari Maalim Seif akiwa na aliekuwa Rais wa Zambia Rupia Banda , pamoja na aliekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kwenye Mkutano wa Chama cha Democrat jijini Philadelphia Marekani.


Nitakuwa na mazungumzo na Bw. Vital Kamerhe, Kiongozi wa Upinzani nchini Kongo-Kinshasa. Mazungumzo kuhusu Siasa za Maziwa Makuu na haswa suala la Amani nchini Kongo. Vital ni mmoja wa wanasiasa wanaotarajiwa kuongoza DRC iwapo kutakuwa na uchaguzi Mkuu nchini humo kwa mujibu wa Katiba. Kabila anapambana kubadilisha Katiba ili aendelee kuongoza Kongo Kinshasa
Maalim Seif Sharif Hamad akihojiwa na timu ya waandishi wa Voice of America (VOA) waliopo kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Democrats nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment