Monday, July 11, 2016

PART 2 MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ANAENDELEA NA ZIARA YAKE HUKO NCHINI UINGEREZA



KILA WAKICHUKIA NA KUFANYIA VITIMBI,VITUKO,MABALA NDIO WATU WANAZIDI KUKIPENDA CHAMA CHA CUF




MAALIM SEIF AKIWA KATIKA JENGO LA BBC LONDON



It was an honour to receive HE Maalim Seif Sharif Hamad, Secretary General of LI's The Civic United Front [CUF], at our headquarters this morning.
Having had their election victory snatched by the government of‪#‎Tanzania‬ in October 2015, the CUF delegation raised the alarm about the increase in ‪#‎HumanRights‬ violations in ‪#‎Zanzibar‬ - including detention without trial and limiting freedom of expression.
"What is happening now is oppression; the government is acting to make sure that CUF is not operating", Seif Sharif Hamad warned, calling on the international community to recognise, and act to prevent, the potential instability that the denial of democracy might lead to in an already volatile region.
Maalim Seif Sharif Hamad akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vyama vya Kiliberali Duniani (Liberal International), Emil Kirjas, naWilliam Townsend, Mshauri wa Sera za Mawasiliano wa Liberal International yaliyofanyika kwenye National Liberal Club, mjini London, nchini Uingereza.
Liberal International ni Umoja wa Vyama zaidi ya 100 vya kiliberali duniani na kinajumuisha Marais na Mawaziri Wakuu wanane (8) wa nchi mbali mbali. CUF ilijiunga na Umoja huo mwaka 1994.
‪#‎Tunampenda‬ ‪#‎Toomuch‬ ðŸ’™ðŸ’™ðŸ’™ðŸ’™ðŸ’™
‪#‎Tunampenda‬ ‪#‎Toomuch‬ ðŸ’™ðŸ’™ðŸ’™ðŸ’™ðŸ’™Maalim Seif Sharif Hamad akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vyama vya Kiliberali Duniani (Liberal International), Emil Kirjas, na William Townsend, Mshauri wa Sera za Mawasiliano wa Liberal International yaliyofanyika kwenye National Liberal Club, mjini London, nchini Uingerez

No comments:

Post a Comment