Saturday, July 23, 2016

PART 9 MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ANAENDELEA NA ZIARA YAKE HUKO NCHINI UHOLANZIMr. Seif Sharif Hamad, popular known as Maalim Seif.. He is the secretary-general of the opposition Civic United Front (CUF) party.

Alhamdulillah! Maalim Seif Sharif Hamad na ujumbe wake wamemaliza ziara ya nchi za Ulaya kwa hatua hii na hapa wanaonekana wakiwa Amsterdam Schiphol Airport, Uholanzi saa 1:00 asubuhi leo wakiwa wanasubirii treni kwa safari ya kurudi London, Uingereza.

Maalim Seif atapumzika London kwa siku moja leo, na kesho asubuhi ataondoka London kwa ajili ya kuelekea Philadelphia, nchini Marekani ambako amealikwa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Democrats utakaompitisha Hillary Clinton kuwa Mgombea Urais wa Marekani kupitia chama hicho.

No comments:

Post a Comment