Wednesday, July 20, 2016

RAIS WA NYOYO ZA WAZANZIBARI MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ALIKWA NA MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA DEMOCRATI PART HILLARY CLINTON NCHINI MAREKANI

The presumptive presidential nominee for the US Democratic Party Hillary Clinton Has Invited the winner of October 2015 CUF Secretary General Seif Sheriff Hamad to her unveiling.
Hamad was invited  to the convention that will be held in Philadelphia, Pennsylvania, from July 25 to 28.In July 30 Maalim Seif will  fly to Boston to speak with Tanzanians in Boston , Massachusetts to tell them his campaign strategy  for the democracy and human right violations   in Tanzania and explain his non violent strategy after he was  robed  his Presidency in October 2015.Maalim Seif will arrive in Philadelphia in July 23rd from his diplomatic tour in Europe .Maalim Seif Pictured above in Amsterdam.
The invitations are courtesy of the International Leaders Forum (ILF), an event organised by the National Democratic Institute (NDI).
“It is a good forum that our Leader Maalim Seif will use to strengthen the party’s (CUF) image on the global platform after his tour to Europe,” said , Issa Kheri  spokesperson.
On his part, Mr Hamad said that the invitation was a good opportunity for Tanzania  to learn from a mature democracy like the US.
“Tanzania  is a young democracy and we must take every opportunity to learn when we can. Our CUF Party will be the largest party in Tanzania  and we can learn a lot from the US Democratic Party when we prepare for the  future elections,” he said in a statement.
MR Hamad will be part of the convention’s panellists from Africa besides foreign ambassadors, members of parliament, leaders of political parties, ministers and about 100 members of the United States-based diplomatic corps.
Invitees to the convention represent political parties in both established and emerging democracies across the world.
Mrs Clinton will make history as the first female president of the United States if she wins the November 4 election.
The former First Lady is set to battle billionaire businessman Donald Trump for the presidency after the latter was formally nominated as the Republican party flag bearer on Tuesday.
KISWAHILI
Mgombea anaetazamiwa kushinda uteuzi wa kiti cha urais kupitia Chama cha Democratic nchini Marekani bibi Hillary Clinton amemualika Mshindi wa Uchaguzi wa Oktoba 25, ambae pia ni katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad.
Hamad amealikwa katikaMkutano huo ambao utafanyika Philadelphia, Pennsylvania, kuanzia Julai 25-28. Maalim Seif atasafiri kwenda Boston tarehe 30 Julai kuzungumza na Watanzania kuhusu mkakati wake wa kampeni za kidemokrasia na uvunjwaji wa haki za binaadamu Tanzania, pia katika mkutano huo anatarajiwa kuzungumzia harakati zake za amani za kutafuta ushindi wake wa nafasi ya Urais ulioporwa baada ya uchaguzi wa mwezi Oktoba 2015.
Maalim Seif atawasili Philadephia tarehe 23 Julai akitokea katika ziara yake ya Kidiplomasi Kutoka Bara la Ulaya.
Mualiko huo ni kwa hisani ya Shirikisho la Kimataifa la International Leaders Forum ambao umeratibiwa na shirika la National Democratic Institute (NDI).
“Ni nafasi nzuri ambayo kiongozi wetu anaitumia kuimarisha chama chetu katika majukwaa ya kimataifa baada ya safari yake ya Ulaya” Amenukuliwa Issa Kheri Ofisa wa ngazi za juu wa chama cha CUF ambae pia anashiriki katika ziara hiyo.
Kwa upande wake Maalim Sief amesema ziara hiyo ni fursa nzuri kwa Tanzania kujifunza demokrasia kutoka Marekani, taifa ambalo limekuwa na ustaarabu mkubwa wa kidemokrasia.
“Tanzania ni nchi changa kidemokrasia na ni muhimu kujifunza kila tunapopata fursa ya kufanya hivyo. Chama chetu cha CUF kitakuwa chama kikubwa Tanzania na tunaweza kujifunza mambo mengi kutoka chama cha Democratic cha Marekani wakati tunajiandaa na chaguzi nyegine zinazokuja” Alisema Maalim Seif katika maelezo yake.
Bwana Hamad atakuwa sehemu ya jopo la mkutano huo wa uteuzi kutoka Afrika akiungana na wanadiplomasia, wabunge, viongozi wa vyama vya kisiasa, mawaziri na wanadiplomasi wengine mia moja wa Marekani
Waalikwa wa mkutano huo watawakilisha vyama vya kisiasa kutoka katika nchi zilizoendelea na zile zinazoibukia kidemokrasia kutoka sehemu tofauti za dunia.
Bibi Clinton ataandika historia kwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa marekani endapo atashinda katika uchgauzi utakaofanyika tarehe 4 Novemebr.
Bibi Hilary Clinton ambaye alikuwa mke wa rais wa zamani wa Marekani anatazamiwa kupambana vikali na mfanyabiashara tajiri Dolad Trump kwa ajili ya kuwania kiti cha urais baada ya kuchaguliwa rasmi kupeperusha bendera ya chama cha Repubican siku ya Jumanne.
Haya ni matunda ya mwanzo tu ya kueleweka na kuungwa mkono kwa Maalim Seif na mataifa mbali mbali ulimwenguni katika kuendeleza harakati zake za kuwapigania Wazanzibari.

No comments:

Post a Comment