Thursday, July 7, 2016

(( ULUWA MTAMU JAPO BASI NI WAHARAMU..?? )) MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI SHEIN KATIKA HAFLA YAKE NA VIONGOZI WAKE KATIKA BARAZA LA EID AL-FITRI


Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein, ukiwasili katika viwanja vya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo kuhudhuria Baraza la Eid El Fitry. Kitaifa limefanyika Zanzibar katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamzni Kikwajuni nchini Zanzibar.


Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein, akiwasili katika viwanja vya Wizara ya Habari kuhudhuria Baraza la Eid El Fitry


Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein, akipokea saluti ya gwaride maalum la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid El Fitry katika viwanja vya Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.


Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein, akilihutubia Baraza la Eid El Fitry katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.


Mufti Mkuu wa nchi ya Zanzibar Shekh. Saleh Omar Kabi akisoma dua baada ya hutuba ya Baraza la Eid El Fitry iliosomwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein.


Viongozi wa Serikali wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar.

Viongozi mbalimbali wa serikali ya shein kisiwani Zanzibar wakihudhuria Baraza la Eid El Fitry katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.

Viongozi wa Serikali wakifuatilia hutuba ya Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein. wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa Zamani Kikwajuni Zanzibar.

Viongozi na wake wa viongozi mbalimbali kutoka Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Baraza la Eid El Fitry. 

Viongozi wa serikali ya Shein wakiwa katika viwanja vya Wizara ya Habari Zanzibar wakihudhuria Baraza la Eid El Fitry.
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein, akizungumza na Spika Mstaaf wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho aliye temwa katika serikali mpya ya Shein.

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein, akisalimiana na waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid El Fitry katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni Zanzibar.

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein, akisalimiana na waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid El Fitry katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni nchini Zanzibar.

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein, akizungumza na Mama Fatma Karume wakati wa hafla ya Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni nchini Zanzibar.

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein, akisalimiana na waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid El Fitry katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni nchini Zanzibar.

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein, akisalimiana na waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid El Fitry katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni nchini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment