Sunday, July 17, 2016

VIDEO-BAADHI TU YA KUONYESHA MAPINDUZI YA KIJESHI YALIVYO SHINDWA NA NGUVU YA UMMAH NCHINI TURKI-WAZANZIBARI TUMEJIFUNZA NINI...??

RAISI WA UTURUKI AWAMBIA RAI TOKENI MKAWAONYESHE
NANI ANA NGUVU ZAIDI VIFARU AU NYINYI RAI

Videos shows soldiers clear out CNN Turk

HII VIDEO YA WANAJESHI KUKUBALI KUSHINDWA
KUFANYA MAPINDUZI BAADA YA KUZUNGUKWA NA RAI
WEMA WALIOPINGA MAPINDUZI HAYO HARAMU YA KIJESHI
YALIOTAKA KUPINDUZA SERIKALI YAO YA KIDEMOKRASI NA
RAISI WA NYOYO ZAO UNAONA MAJESHI MIKONO JUU ISHARA KUWA
WAMEKUBALI KUSHINDWA

Turkey’s coup attempt fails

No comments:

Post a Comment