Tuesday, July 26, 2016

VIDEO-WAFUKUZENI WAZANZIBARI WOTE KATIKA SMZ MBAKIE NYINYI TU MACHOGO NA MABUNJU TULIJUWA ZAMANI KUWA SMZ SI YAWAZANZIBARI BALI NI MKOLONI KAVA KOTI ILI AITAWALE ZANZIBAR

CCM NI ILE ILE CCM ILEE ILEE SISI WAZANZIBARI TUSHAIJUWA
KUWA NI ILE ILE TABARA LILILO CHOKA HALINA FAIDA
ZAIDI YAKUTUTIA UMASIKINI NA NDIO MAANA TUIKATA NA TUNAENDELEA
KUIKATA MAANA NI ILE ILE NA ROHO LA CCM NI LILE LILE YA KUUWA WATU
NA KUFUNGA WATU JELA NA KUTESA WATU CCM NI ILE ILE WATESAJI NI WALE WALE

Mama Amina Salim Ali amenukukuliwa akisema kuwa "Wapemba wote watolewe kwenye nafasi za juu za serkali kwa vile hawakumpa kura DR Sheni na kusababishwa CCM kushindwa uchaguzi wa October 25. Aibu tulioipata kwa chama chetu lazima tuwafundishe adabu Wapemba kuwa serkali hii ni ya kimapinduzi na wao sio sehem ya serkali hii ya CCM" kama kweli ameyaongea haya napenda kuzungumza yafuatayo:
Kwanza, tunamkumbusha Amina kwamba walioikataa CCM sio Wapemba bali ni Wazanzibari wote kwa ujumla wao na kwamba Shein ameshindwa na Maalim Seif kwa tofauti ya kura 25,831.
Pili, Hiyo anaoiita Serikali haina uhalali wowote kuwaongoza wazanzibari achilia mbali kufukuza watu; kwakua imekataliwa na wananchi wengi, na kama wanataka kufukuza wafanyakazi wafukuze wa Unguja na Pemba kwani wengi wao wamempigia kura Maalim Seif baada ya kuona Dokta Shein hana uwezo wa kuendesha Serikali na kuwaletea wananchi maendeleo.
Tatu, kama anataka kuisimamia hoja yake vizuri, hoja ambayo pia imekua slogan ya CCM kwa muda mrefu basi waanze kumfukuza Dokta Shein ambae nae ni Mpemba.
Nne, tunamuomba Amina aache ubaguzi, na kwamba hizi nyimbo wanazoimba zimepitwa na wakati kwa ulimwengu wa leo; wazanzibari wanataka maendeleo na sio siasa chafu zilizofeli kuisaidia CCM na kupata anguko la kihistoria Oktoba 25, 2015.
Mwisho tunamkumbusha Amina kwamba Zanzibar imechanganya damu za makabila na watu wa aina zote, hiyo ndio kawaida ya visiwa mara nyingi huwa na mchanganyiko wa damu tofauti. Tusende kwenye ukabila, tuache kupandikiza hizi chuki ili siku moja zisije kuturejea wenyewe tunaozichochea.
Zanzibar ni ya wazanzibari wote.

No comments:

Post a Comment