Sunday, July 3, 2016

WENYEVITI NA MAKATIBU WAKO HURU PEMBA NA WALIO BAKI JELA NA MASHEIKH WETU KWA UWE WA M.MUNGU PIA WATATOKA MAPAMBANO YANAENDELEA


Jana usiku tumefanikiwa kuwa pata kwa dhamana Wenyeviti na Makatibu wa Majimbo waliokamatwa na kuwekwa ndani bila ya kosa lolote na bila ya kufikishwa Mahakamani kwa siku 5.

No comments:

Post a Comment