Monday, August 1, 2016

PART 1 BAADHI TU YA PICHA ZA MUONEKANO WA DR SHEIN NA DUBAI YAKE ZANZIBAR


Vunja vunja imehamia kwerekwe kwa wauza mitumba.zbarMabanda yanayokadiriwa kufikia100 ya wafanyabiashara katika soko la Mwana Kwerekwe Zanzibar yameteketea kwa moto
Eti wanasema usiku wataimarisha ulinzi kulinda mali za wafanya biashara.kufuli wameipiga nyundo wakifkiri ndani muna mzigo waliingia tamaa wakifkiri tajiri hajahamisha mzigo wake wapate waibe kumbe tajiri ameshahamisha mizogo yote ndani hamina kitu amefunga tu.bila hivo hawakuiweza kuivunja.picha darajani zbar
ENEO LA MAKONTENA DARAJANI HILO LISHAVUNJWA LOOTE KWA AJILI Y KUJENGWA 
MJI WA KISASA UENDANE NA HADHI YA DUBAI ZANZIBA
KISA WAPENMBA ,KISA CUF, KISA WANADAI HAKI YAO, KISA WANAJIPATIA RISKI YAO, KISA WANAPINGA UDICTECTA
NA NDO KISA CHA KUKOMOLEWA ............,WAPI TUNAELEKEA .................AU NDO DUBEI YA SHENI ................
mkono Kwa mkono hadi kielewekee.............Baadhi ya wafanya biashara eneo la makontena Darajani mjini Ungujua wakiwa kwenye harakati za kuhamisha bidhaa zao kutoka eneo walilozoea kufanyia biashara ambalo kwa sasa baraza la manispaa Zanzibar wanataka kuvunja eneo hilo kwa ajili ya ujenzi mpya ambao haujatajwa ujenzi huo hadi kukamilika kwake utachukua muda gani.No comments:

Post a Comment