Friday, August 19, 2016

VIDEO-FEDHEHA KWA BABUALI MKONO UMEKATALIWA HUKUTAKA KUONDOKA KWA HIYARI NA HISHIMA UTAONDOKA KWA KUFEDHEHEKA NA KUAIBIKA ASIYEKUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI SHEIN LIJUWE HILO

SIKILIZA HII NYIMBO LABDA ITAKUFUNZA KITU IKIWA UNA AKILI YA UWAZI
Dr Sheni awaambia washauri wake bora ningebaki Tanganyika kuwa Makamo wa Urais kuliko hichi kitanzi niliochotiwa cha kulinda Mapinduzi na aibu niliovikwa ya kuitwa kinganganizi cha madaraka na kulazimishwa kubaki madarakani. Awaambia Washauri wake akistaafu na yeye hatokaa Zanzibar bali atakimbilia bara kama Mzee Jumbe ,Mzee Abdul Wakil na Mzee Mwinyi kwani hata watoto wake wamechoka choko choko za Zanzibar za yeye kuitwa msaliti wa kuikoroga Zanzibar.Hadi kwenye MAzishi ya Mzee Jumbe mimi nimefanywa ndio kituko cha mitandao ya jamii inawaudhi watoto wangu. kama umechoka kweli siujuzulu tu kisha uwende zako huko Tanganyika kinacho kuzui nini kama si kinganganizi cha madaraka na kulazimisha kubaki madarakani ulikuwa ushashindwa uchaguzi ulikuwa ukubali tu basi haya yote yasingelikufika lakini ukajitia kungangania sasa unamlilia nani kama hukutaka kuondoka kwa heshima utaondoka kwa kudhalilika ndivyo ilivyo pia sasa hujachelewa bado jizulu tu.

No comments:

Post a Comment