Tuesday, August 9, 2016

NCHI HII INAVIWANDA VYA KUKAMULIA MAJI DUUUUH!!!

TUMEJIPANGA MWAKA HUU WATAISOMA UKISHA KUCHEZA MIJASHO
ISHAKUTOKA UNANUKA MAKWAPA UKIRUDI NYUMBA HUNA HATA
MAJI YA KUPIGIA MSWAKI WACHILIAMBALI KUOGA ILIO BAKI NDIO 
KWENDA KUJIPANGA SASA FOLENI YA MAJI WAKATI WAO VIONGOZI
WA CCM WANAMAJUMBA ZAIDI YA MATANO NA YOTE YANA MAJI NA UMEME
NYINYI MUMO TUUU TUMEJAPANGA MWAKA HUU WATAISOMA NDIO MUNAISOMA SASASerikali ya viwanda...naona wakina mama huko Katoro Geita wakiwa kwenye kiwanda cha kukamua maji
😂😂😂😂
Toka enzi za Babu na Bibi mnahaidiwa maji mpaka leo na bado hamtii akili,mkaichagua CCM kwa mbwembwe,,,na iwe fundisho na bado mtakunywa hadi matope.
Hawa ndio walisemaga "mabadiliko mpelekee kinyonga" leo wao ndio wanageuka vinyonga wananyonga kiwanda cha maji kwa mbaali,,,ama kweli shetani afukuzwi kwa ubani.

No comments:

Post a Comment